Rushwa - Mvua ya Lowassa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rushwa - Mvua ya Lowassa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jasusi, Sep 19, 2006.

 1. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2006
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Mkira,
  Hiyo mipango ya mvua ilishakufa.
   
 2. A

  Aljazeera Senior Member

  #2
  Sep 19, 2006
  Joined: Jun 27, 2006
  Messages: 125
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Mkira

  Nina rafiki yangu kutoka Vietnam, wakati EL alikuwa anatembelea hiyo nchi aliniambia kitu kimojaambaco mpaka leo hii naona ukweli wake. Alisema

  Nchi maskini yenye viongozi wala rushwa hutembelea nchi maskini na wala rushwa ili kujilinganisha nani zaidi. Akaendelea kusema "Huwezi kuona hata siku mmoja kiongozi wa nchi ya tatu na mla rushwa akifanya ziara ya muda mrefu kwenye nchi ya kwanza na isiyokula rushwa"

  Nadhani alikuwa sahihi hivi mbona hatusikii safari za wiki au wiki mbili za viongozi wetu kwenye nchi zenye maendeleo ya juu, tutasikia EL kafanya ziara ya siku kadhaa Thailand lakini tutasikia kafanya siara ya siku au masaa machache Ufaransa nk.
   
 3. M

  Mkira JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2006
  Joined: May 10, 2006
  Messages: 425
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Jasusi,

  Ina maana mpango huo wa mvua umeishafutwa na haupo tena?

  Wamekubaliana na ushauri wa wataalamu wetu?


  Nchi yetu imezungukwa na maji kusini, mashariki, Magharibhi na kaskazini!

  ninadhani ufumbuzi unaweza kupatikana. Hatutaki mipango ya zima moto kama ule wa wa Sumaye wa speed Governor kwa ajili ya kuzuia AJALI ZA BARABARANI!
   
 4. M

  Mkira JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2006
  Joined: May 10, 2006
  Messages: 425
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mzee Jasusi hapo umenena kweli tupu!!

  Kila leo utawasikia India,Malasyia and the likes. Na huko Malyasia ndiko walikoenda kutumaliza na IPTL. Hivi karibuni walienda kununua Generator kwa ajili ya kuzalishia Umeme. Lakini matokeo yake tatizo la umeme sasa ni kubwa kuliko kawaida!!!

  .... wataamuka lini?
   
 5. M

  Mkira JF-Expert Member

  #5
  Sep 19, 2006
  Joined: May 10, 2006
  Messages: 425
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  I meant Aljazeera.
   
 6. S

  Spiderman JF Admin

  #6
  Sep 19, 2006
  Joined: Jan 1, 1970
  Messages: 5,606
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 145
  Nchi inapopinduliwa kama hivyi. nani mwenye makosa. hao wanajeshi na kamanda wao hawawezi kushitakiwa?
   
 7. M

  Mkira JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2006
  Joined: May 10, 2006
  Messages: 425
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
 8. l

  lutuli Member

  #8
  Sep 26, 2006
  Joined: Aug 16, 2006
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkira,
  Mbona unauliza majibu? Jibu la walarushwa liko Thailand.
  Kama kweli watu wana uchungu na nchi, wangekaa wakitumbua nje ya nchi
  muda wote huo wakati hapa nyumbani kuna janga la kukosa umeme?
  Sasa hivi watu wanakufa mahospitalini kwa kukosekana umeme, n.k.
  Halafu bwana Lowasa anaendelea kutoa hongo kwa wapiga kura. Hizo milioni
  sitini amezitoa mfuko gani? Kama zake amezipataje? Kwa Mama Marry Ndossi? Za IPTL? Wakati wa hayati Baba wa Taifa, kulikuwa na mbiu, "WAKATI NI HUU". Ilikuwa ikiwakumbubusha wakulima majira ya kulima na kupanda mazao mbalimabali. Mimi mlalahoi, ndugu zanguni kina Junta NAWATAHADHARISHA KUWA makaburi yenu yatapigwa viboko na wajukuu na navitukuu vyetu. Ikomboeni hii nchi iliyoachwa mikononi mwa mafisadi. Angalieni tayari Lowassa anapiga mahesabu ya Urais 2010. Hiyo itakuwa nchi kweli?
   
 9. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #9
  Sep 26, 2006
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Administrator,
  Huyu waziri mkuu aliyepinduliwa alikuwa wamemchoka.
  Aliuza kampuni yake ya simu kwa dola billioni. Hakulipa hata senti moja ya kodi. Mali zake amelimbikizia Uingereza alikokimbilia. Mapinduzi hayakuwa na umwagaji damu kwa sababu hakukuwepo hata mtu mmoja aliyekuwa tayari kumwaga damu yake kumtetea mfisadi kama huyo.
   
 10. M

  Mafuchila JF-Expert Member

  #10
  Sep 26, 2006
  Joined: Apr 29, 2006
  Messages: 752
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Jasusi,
  I we need a 'Global war against corruption' kwa sababu ni moja ya tishio kubwa kwa nchi maskini kuliko hata ugaidi.
   
 11. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #11
  Sep 3, 2016
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,773
  Likes Received: 2,675
  Trophy Points: 280
  What really went wrong !!
   
Loading...