kuna ugomvi nimeshuhudia wa wachaga mtu na kakake wanagombea shamba la urithi. Walifika hatua wakaacha kusalimiana mpaka kukataza watoto wao wasitembeleane. Na mpaka kaka mkubwa anafariki hawakuwahi kuelewana kisa ni shamba la urithi. hao ni ndugu wa tumbo moja je kwa mchaga na kabila lingine?? mchaga anaweza kuua kisa ni pesa in short wachaga ni watu wasio na utu inapokuja suala la pesa! Ni bahatii mbaya wote tutakufa na kuacha hizi pesa....
Wachaga wapuuuzi sana ndo maana magufili kawatosa kwenye baraza lake la mawaziri... na ukatibu watatimuliwa hvo hvo mpaka watie adabu
Acha kimtengenezea chuki magufuli, tanzania kuna makabila mamia, je wote wamechaguliwa kuwa mawaziri?kinachowauma watu wengi ni level ya wachaga katika maendeleo na elimu, na biashara, hatuwezi kuwakwepa na badala ya kufanya kazi we endelea kuumia hivyo hivyo wenzako wanapiga kazi na kutafuta fursa
Wajanja wameshaamka na wanafanya yao we endelea kulia lia
Acha kimtengenezea chuki magufuli, tanzania kuna makabila mamia, je wote wamechaguliwa kuwa mawaziri?kinachowauma watu wengi ni level ya wachaga katika maendeleo na elimu, na biashara, hatuwezi kuwakwepa na badala ya kufanya kazi we endelea kuumia hivyo hivyo wenzako wanapiga kazi na kutafuta fursa
Wajanja wameshaamka na wanafanya yao we endelea kulia lia
Were ulie tu 'Shoghoo' sina hana ya Ukabila lako ila unaonesha una chuki Kali na wivu juu ya wachaga. Wenzako walianza Na mungu wazungu wakawapatia elimu bora Na Huduma nyingine za jamiiWachagga kwa rushwa wanatia kinyaa. Walikua wamemonopolize TRA kama chama chao, Kabla ya Bashe TRA ulikua hupati kazi hadi rushwa ya kuanzia Mil 2, sasa hivi TRA unaingia kwa qualification. wamejazana TRA kama mafisi kwasababu kuna rushwa. Kwenye miji yetu tunawakaribisha lakini ukihamishiwa pale kwao. YELEUwii yaani we acha tu. ofisini full kichagga. Kosea stepu uoe binti yao. Kama wewe sio mchagga taf usioe mchagga, kama unaona urongo jaribu majuto ni mjukuu.
Sawa,Charity begins at homeMchaga akikamata cheo laxima wajae wachaga
Wachaga apart from hayo maendeleo ulotaja ila ni WEZI
WEZI wapo magerezani. Kwa hiyo wachaga ambao ni WEZI wako magerzani?Wachaga apart from hayo maendeleo ulotaja ila ni WEZI
kuna jamaa alienda marangu kuoa,sehemu moja inaitwa kiraracha,nikamsindikiza nikacheka sn nilichokiona!!!eti alete pombe pipa 12,mbuzi 2,kondoo mmoja,mguu mmoja wa ng'ombe,blanket 2,khanga za mashangazi walikuwa 9,kamba,alipie kikao cha kuja kwake ie chakula na vinywaji,nk then alipe mahari mil.1.5,jamaa akawambia ntarudi akampiga chini demu japo tayari alishampa mimba,ile hela kwa hasira akaongezea hela kidogo akanunua spacio,na akarudi kwao mbeya akaoa akina atuganile!!mapenzi yenyewe hawajui,shape ndo vile juu wapana chini km wanatembelea mikono!!!!
ha-ha!! Msipo wa diss wachanga siku yenu haiendi kama inavyo takiwa wee jamaa una chuki sana!! Kumbuka wachanga hawaitengemei serikali siyo lazma Magufuli ateuwe mawaziri kutoka kaskazini!! Dodoma wamevuna mawaziri wengi lakini nini cha maana kipo huko Dodoma??? Sis tuna dola yetu hapa ni sawa na Marekani kukimbilia kuwawekea vikwazo Urus!!! na bado mtaisoma number
Kwa kweli hawana ubinadamu viumbe wale kwa habari ya pesa!
teh teh teh mnaua ndugu zenu mje mijini
Endeleeni kuwachukia wachaga tu. The good news ni kuwa Mafuta Mengi sana yamegunduliwa na kampunu ya Swala huko Chekerenu wilaya ya Moshi vijijini mkoani killimanjaro.
Acha kimtengenezea chuki magufuli, tanzania kuna makabila mamia, je wote wamechaguliwa kuwa mawaziri?kinachowauma watu wengi ni level ya wachaga katika maendeleo na elimu, na biashara, hatuwezi kuwakwepa na badala ya kufanya kazi we endelea kuumia hivyo hivyo wenzako wanapiga kazi na kutafuta fursa
Wajanja wameshaamka na wanafanya yao we endelea kulia lia
Acha kazi kama wanakukera sana
Kazi ni ya serikali sio ya mchaga, halafu hiyo haitakuwa suluhu hiyo ni sawa na kusema wote wasioridhishwa na uongozi wa resign
nimesoma hapa nikafikiri wewe ni mwana harakati unaepinga rushwa, lakini baada ya kuendelea kusoma ulivyokua unajibu wasomaji wa hii thread nikagundua wewe ni mjinga mmoja ambae upo obsessed sana na wachaga, yaani unaonekana unawafuatilia sana mambo yao, utamaduni wao,changamoto zao na inakuuma sana kuona mafanikio yao, ni sibu kwa kizazi hiki karne hii ya ishirini na moja kuona mtu mwenye chuki za kikabila kama wewe, fanya kazi kaka acha kufuatilia mambo ya watu, wachaga hawakufuatilii wewe, wewe huoni aibu kuwafuatilia, kati ya watu wajinga kabisa wenye akaunti jamii forums wewe utakua unaongozaNimejaribu kufuatilia sana na kushiriki kwa namna moja au nyingine katika michakato mbali mbali ya ajira eidha ya mda au ya kudumu.Mfano tukianza na hili la ajira ya mda ya kuandikisha wapiga kura kwa mashine za BVR ni aibuuu kubwa kwa Halmashauri hii,waliitisha interview ambayo ilikuwa ni kuchapa sentensi mbili kwa sekunde 30,cha kushangaza waliomaliza kabla ya mda hawakuchukuliwa na walioshindwa kumaliza kwa mda ndio walioshinda!!!shame upon them!!!Hata zoezi nyeti kama hili tunaleta ukabila,rushwa na kujuana???Ngoja tuone hatma yake!!Mfano,nilimuona dada mmoja si mtumishi wa halmashauri hiyo akiwa amepata kinyume na masharti ya ajira hiyo ya mda ambayo walitaka mfanyakazi wa muda wa zoezi hilo awe ni mtumishi wa halmashauri hiyo,aliyemsaidia kupata nafasi hiyo ya ajira ni Afisa mtendaji aliyejulikana kwa jina la MARLEY AAKISHIRIKIANA NA WATUMISHI WENGINE WASIO WAAMINIFU(MAJINA NINAYO).
Lakini pia HALMASHAURI YA MOSHI KIMYA KIMYA iliajiri ma afisa biashara ambao ni walimu,nafasi hizo zilimtaka muombaji awe amesomea na amebobea katika fani za biashara lakini kinyume cha matakwa na masharti ya ajira hiyo wakaajili walimu wa book keeping,commerce na science ndio wakapitishwa na kupata ajira hizo kimsingi wengine kati yao walikuwa walimu wa masomo ya science ambapo bado kuna upungufu mkubwa,kwa rushwa na kujuana wakapewa ajira kwa mara ya pili wakati wasiokuwa na ajira wanahangaika bila mafanikio.(rejea walioajiriwa hivi karibuni kitengo cha biashara Halmashauri ya Moshi)
Pia hivi punde Halmashauri ya moshi imetangaza tena ajira mbali mbali,lakini kwa ukiritimba huu wa kikabila,rushwa iliyokithiri ikiwemo ya ngono tutegemee yale yale,wenye sifa wataachwa,waliotoa rushwa ya fedha na ngono ndio watapitishwa kama ilivyotokea kwenye BVR,AJIRA ZA UAFISA BIASHARA NK.
WITO:TAKUKURU MFANYE UCHUNGUZI WA KINA KATIKA SUALA HILI NYETI,USHAHIDI UPO CLEAR,MF.CHOOSE RANDOMLY WALIOPITISHWA KATIKA KUANDIKISHA BVR NINAUHAKIKA ITAKUTANA NA WATU WENGI HAWAJUI HATA KUTYPE KWA SPEED WALIYOTAKA NA HAWANA VIGEZO VYA KAZI HIYO NYETI KWA UJUMLA.PIA KATIKA KITENGO CHA BIASHARA REJEENI WALIOAJIRIWA HIVI KARIBUNI UTAKUTA WENGI NI WALIMU NA HAWANA SIFA YA KUSHUGHULIKIA MABO YA BIASHARA MATOKEO YAKE KUKOSA MBINU ZA KITAALUMA ZA KUKUSANYA NA KUBUNI VYANZO VIPYA VYA MAPATO HIVYO KUIKOSESHA HALMASHAURI NA SERIKALI MAPATO.
Sasa serikali si inampendelea mchagga?? Au serikali haioni??