Rushwa, Kujuana, Ukabila katika Halmashauri ya Moshi

Mchaga ni mtu mzuri sana kwenye issue ambayo haihusu pesa!

Kwenye issue inayohusu pesa ni afadhali ukutane na dubu au simba mwenye njaa kuliko mchaga. Kwake utu wa mwingine hauna thamani mbele ya pesa!

well said mdau, mchaga anaweza akakutumia majambazi kisa mlitofautiana kwenye pesa......wachaga ni mkosi
 
Alafu mtoa mada unasema halmashauri ya Moshi wamejazana wachagga hivi kweli hapo Moshi wachagga wanaweza kuwa minority kwenye chimbuko lao wenyewe?

Au wachagga wanaweza kuwa majority kwenye halmashauri ya Tarime?

Em just use that ball shaped sphere on top of your neck in a useful way it should work on.
 
well said mdau, mchaga anaweza akakutumia majambazi kisa mlitofautiana kwenye pesa......wachaga ni mkosi

kuna ugomvi nimeshuhudia wa wachaga mtu na kakake wanagombea shamba la urithi. Walifika hatua wakaacha kusalimiana mpaka kukataza watoto wao wasitembeleane. Na mpaka kaka mkubwa anafariki hawakuwahi kuelewana kisa ni shamba la urithi. hao ni ndugu wa tumbo moja je kwa mchaga na kabila lingine?? mchaga anaweza kuua kisa ni pesa in short wachaga ni watu wasio na utu inapokuja suala la pesa! Ni bahatii mbaya wote tutakufa na kuacha hizi pesa....
 
mbona unachanganya madesa, mara shamba la urithi mara pesa, hivi ni maeneo gani katika nchi hii watu wanapigana na kuuana kwa ajili ya kugombea ardhi? kati ya wahusika wakuu wa ESCROW, UFISADI WA MAKONTENA TRA, BANDARI NA KWINGINEKO WAHUSIKA WAKUU NI AKINA NANI? CHENGE, MUHONGO, TIBAIJUKA, MASAMAKI BADE, NGELEJA, KARAMAGI, MANJI, PATEL, BAKHERESA(WAKWEPAJI KODI) SIJUI WACHAGA NI WANGAPI HAPO! ACHENI CHUKI FANYENI KAZI!
 
chagaphobia na hii kwa baadhi ya wenzetu wavivu na kutopenda kufanya kazi kwa bidii, wakimwona mchaga viroho vinawadunda wakijua fika kwa utendaji wake wa kazi atweza kuwareplace vyeo vyao.
 
Wachaga wapuuuzi sana ndo maana magufili kawatosa kwenye baraza lake la mawaziri... na ukatibu watatimuliwa hvo hvo mpaka watie adabu
 
wachaga wapuuuzi sana ndo maana magufili kawatosa kwenye baraza lake la mawaziri... Na ukatibu watatimuliwa hvo hvo mpaka watie adabu
wachaga wangekuwa wapuuzi kweli angewapa ili wadhihirishe upuuzi wao vizuri, lakini kwa vile anawatambua kwa ufanya kazi anawaogopa wasije wakamfunika akawa si lolote tena!
 
wachaga wangekuwa wapuuzi kweli angewapa ili wadhihirishe upuuzi wao vizuri, lakini kwa vile anawatambua kwa ufanya kazi anawaogopa wasije wakamfunika akawa si lolote tena!

Ndo akil zako zmefkia hapo... subir muisome namba... PM msuya aliwasaidia kutoka kimaisha kumbe nyie wabnafsi mpka akajuta wajua sasa minyooosho kwa kwendaa mbele angalia wanaotafta TPA na TRA n kina naniii..... mtanyoooka tu... mnaiibia serkal afu mnajifanya mnataka mabadiliko
 
wapenda vya bure ndiyo mtakaoisoma namba, bakharesa, masamaki, bade ni wachaga?
 
Umewaona hao tu... hahahahahahhahaaha mtaisoma namba... subr show
 

wivu wa kike huo, wanawake wa kichaga hawatakagi majitu magoigoi kama wewe wasiojua kutafuta pesa
 

Hy ndio tabia iliyopo, na hao wa hukoo ndio kabsaaaa, Yaan mkuu wa kitengo alikiwa Masaweee, nafasi za maab atashika Urio, Kileo, Shirima ht km ujuz hana.
 
Wachaga wamebarikiwa na mungu mtajibeba na chuki zenu

Waambie hao serikali wameunda hakuna ....wakaona kuanzia Kilimanjaro,Manyara na Arusha ....mwenye shape ya uwaziri Tena unaibu ninmmoja tu ..Tena Naibu ..Ole Nasha ......... ,
Huo ukabila moshi unatoka wapi wakati waajiriwa wanaletwa na serikali Kuu ...au Kama wanaongelea madereva na wapika chai ......au madiwani labda

Wakati kuna mikoa imetoa mawaziri wawili hadi wanne kwa MKOA Moja ..
 

Ndio mjifunze kuacha wizi nyie Wachaga mkiwekwa sehemu ni kuiba ndio mmetufikisha hapa. Magufuli hakuwa na jinsi maana angechagua nani uwaziri wakati huko uchagani mmechagua wabunge wote chadema alafu hamuaminiki ni wezi.
 
ha-ha!! Msipo wa diss wachanga siku yenu haiendi kama inavyo takiwa wee jamaa una chuki sana!! Kumbuka wachanga hawaitengemei serikali siyo lazma Magufuli ateuwe mawaziri kutoka kaskazini!! Dodoma wamevuna mawaziri wengi lakini nini cha maana kipo huko Dodoma??? Sis tuna dola yetu hapa ni sawa na Marekani kukimbilia kuwawekea vikwazo Urus!!! na bado mtaisoma number
 
Watu wa vibarazani utawajua tu kutwa tantalila kazi hamfanyi alafu mnataka maendeleo, maskini wa akili hukesha kunzungumzia watu sasa mtakesha na wachaga ila hamuwarudishi nyuma next time tutawauza kama mashamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…