mokala1989
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 2,236
- 731
dada zetu hawabweteki na kuolewa kwani wanajiweza na ni wachapakazi, mahari ya njiwa bakini nayo huko huko kwenukuna jamaa alienda marangu kuoa,sehemu moja inaitwa kiraracha,nikamsindikiza nikacheka sn nilichokiona!!!eti alete pombe pipa 12,mbuzi 2,kondoo mmoja,mguu mmoja wa ng'ombe,blanket 2,khanga za mashangazi walikuwa 9,kamba,alipie kikao cha kuja kwake ie chakula na vinywaji,nk then alipe mahari mil.1.5,jamaa akawambia ntarudi akampiga chini demu japo tayari alishampa mimba,ile hela kwa hasira akaongezea hela kidogo akanunua spacio,na akarudi kwao mbeya akaoa akina atuganile!!mapenzi yenyewe hawajui,shape ndo vile juu wapana chini km wanatembelea mikono!!!!
Kweli kabisa...
Acha kudanganya Umma hakuna Halmashauri inayoruhusiwa kuajiri Officers Cadre imeruhusiwa kada za chini tu,Hao walimu unaosema wameajiliwa Mara ya pili sio kweli hakuna utaratibu wa kumwajiri mtu Mara mbili sema inawezekana walimu hao bachelor degree wamesoma Biashara ie Bachelor of Commerce au nyingine inayoshabiana na Hvyo wameomba kubadilishiwa muundo wa Utumishi kwa mujibu wa scheme of service ya wa 2002 pamoja nyaraka mbalimbali zilizopo zinazoruhusu mtumishi wa Umma kufanyiwa (Recategorization) khs hilo la BVR kama unaona hujatendewa haki na una uwezo Muone DED mbona kazi zenyewe hamuwezi mnanga'ng'ania tu. Angalizo uwe unaposti kitu ambacho unakijua sio kukurupuka tu.
Kwa kweli siwapendi hawa watu kwa favouritsm
acha kukurupuka wewe! jambo usilolijua ni sawa na usiku wa kiza! pesa ya ile barabara ilitolewa na NORAD tangu 2003! zikatumika kwa matumizi mengine, 2006 wanorway wakadai zirud kama hazikwenda kunakotakiwa, wakt wa bajet wabunge walikataa kupitisha hadi PM akaitisha kikao cha dharura cha wabunge wa chama kwenda kuwaambia ukweli ndio wakarud wakapitisha ile bajeti. usiwe unakurupuka tu tafuta hoja nyingine ya kuendeleza chuki yako ya kikabila, cjui ww ni mmatumbi au mkwere!wapo wangapi???majority ni wachaga tena hawana sifa,kila siku kuhamishwa hamishwa kwa kukosa sifa!!toa mifano halisi acha mihemko!!!utaachaje kukemea ukabila wakati sasa ukabila na hata udini umeibuka kwa kasi,tunyamaze ili uendelee kukua???hukusikia watu wakilalama TRA walijaa wachaga kipindi Basil Pesambili Mramba akiwa waziri wa Fedha???hukusikia barabara iliyowekwa kiwango cha lami yakutoka njia panda ya rombo hadi rombo haikupaswa kujengwa huko ilifanyika hivyo kwa ushawishi na amri ya Mramba wakati akiwa waziri wa fedha???mifano ipo mingi tu na ndio maana NI LAZIMA TUKEMEE UKABILA NA UDINI(VINAENDANA PAMOJA KWANI UKIPROMOTE KABILA FLANI KWA UPANDE MWINGINE UMEPROMOTE DINI FLANI) so ni lazima tuandike na tukemee haya bila kujali nani atachukia au nani atapenda!!!
dada zetu hawabweteki na kuolewa kwani wanajiweza na ni wachapakazi, mahari ya njiwa bakini nayo huko huko kwenu
Wanajitengenezea chuki katika jamii bila wao kujua, hawa ndugu wanachukiwa pembe zote . Kwanza ni wezi, wabaguzi, wadini, alafu kitu kimoja ni kwamba wamerithi tabia za kujiona wao ni bora na si mwingine katika dunia ya leo. Hizi tabia za wazee wao wa kale wanafikiri zitawasaidia katika dhama hizi mpya ambapo kila mtu anamhitaji mwenzie duniani kote, hawa wameendelea kukaa gizani na itawagharimu.
Badilikeni kila siku nyie kubalini makosa mjilekebishe
Mwenyekiti wa Bodi ya Kahawa Kagera (Kwa wahaya) ni mchagga..
Hawazuiliwi kwenda popote lakini kama wakiendelea na tabia hizi wataanza kuwa wanafukuzwa kwenye miji ya watu.
Kwa kweli siwapendi hawa watu kwa favouritsm
Wanajitengenezea chuki katika jamii bila wao kujua, hawa ndugu wanachukiwa pembe zote . Kwanza ni wezi, wabaguzi, wadini, alafu kitu kimoja ni kwamba wamerithi tabia za kujiona wao ni bora na si mwingine katika dunia ya leo. Hizi tabia za wazee wao wa kale wanafikiri zitawasaidia katika dhama hizi mpya ambapo kila mtu anamhitaji mwenzie duniani kote, hawa wameendelea kukaa gizani na itawagharimu.
Hii jf ina watu wasipowasema wachaga vibaya maisha yao hayaendi, Wachaga ni Israeli Wa Bongo. Hawajali maisha yao yanaenda tu. Bravo Chaga Tanzania Celebrities.Wanajitengenezea chuki katika jamii bila wao kujua, hawa ndugu wanachukiwa pembe zote . Kwanza ni wezi, wabaguzi, wadini, alafu kitu kimoja ni kwamba wamerithi tabia za kujiona wao ni bora na si mwingine katika dunia ya leo. Hizi tabia za wazee wao wa kale wanafikiri zitawasaidia katika dhama hizi mpya ambapo kila mtu anamhitaji mwenzie duniani kote, hawa wameendelea kukaa gizani na itawagharimu.
Huyu Ambwilikiti naona kuna mchaga "alimvunjia mayai" hakumlipa. Ana hasira sana nao. Hata kama wanatembelea mikono, wewe shepu yako ikoje, umeumbika vizuri hivyo unakosa ajira! Naenda kaoge njia panda!acha kujitoa ufahamu
Huyu Ambwilikiti naona kuna mchaga "alimvunjia mayai" hakumlipa. Ana hasira sana nao. Hata kama wanatembelea mikono, wewe shepu yako ikoje, umeumbika vizuri hivyo unakosa ajira! Naenda kaoge njia panda!
Hii jf ina watu wasipowasema wachaga vibaya maisha yao hayaendi, Wachaga ni Israeli Wa Bongo. Hawajali maisha yao yanaenda tu. Bravo Chaga Tanzania Celebrities.
Kwa nn msemwe nyinyi tu jirekebisheni punguzeni ujanja ujanja na kujuana tunao maofsini ni kero tupu
We mpuuuzi kweli kwanza ulishafika nyumbani kwa wachagga?teh teh teh mnaua ndugu zenu mje mijini