Rushwa, Kujuana, Ukabila katika Halmashauri ya Moshi

Hawa jamaa ni wakenya sema bahati mbaya walikuwa Watanzania

Woooongoo hata wangoni ni wasouth afrika na wakigoma ni mutu ya kongo, wakurya nao na wanyakyusa ni wa zambia , wamakonde nchumbiji aisee wee una shida.
 
Woooongoo hata wangoni ni wasouth afrika na wakigoma ni mutu ya kongo, wakurya nao na wanyakyusa ni wa zambia , wamakonde nchumbiji aisee wee una shida.
nilikuwa sijui kumbe mkurya mtu wa zambia, ali chanja mbuga mpaka kufika kaslazini mwa tz na kumwacha mnyakyusa mbeya.
 
Hata Arusha wachaga wamejaa ndio wanaomchagua Lema ,,Safari jii lazima tuwachinjie baharini wametuharibia sana jiji letu
 
Mimi ni mwajiriwa wa halmashauri ya moshi wakuu wa idara karibia wote ni makabila mengine kwa mfano afisa elimu sekondari na msingi sio mchaga.DED sio mchaga na hata afisa utumishi sio mchaga mtoa Mada akajipange sio kuleta upuuziii wako usio na kichwa wala miguuu
 

Tanua akili yako hata kama ww ni mchaga umoja wa kimakundi ndio mwanzo wa kutenga wengine mbaya zaidi makundi ya kikabila karne hii hatutakiwi kujitenga kimakundi hasa ya kikabila ni ushenzi, mdaua liyetoa hoja hapo juu yupo sahihi, vilevile lazima kuwe na uwioano katika maofisi huwezi jaza kabila moja tu, sikuhizi wasomi ni wengi.
 

Anaweza kazi? au kutwa kulalamika tuu shule wanakimbia wanataka kufunga milegezo kuvaa nusu uchi alafu aingie ofisi za umma, swain. aweke cv yake hapa kwanza ionekane.
 
Mtoa mada hongera sana kwa kuweza kutoa uhalisia wa matatizo yaliyopo katika halimashauri zetu kiukweli kabisa huo ndio ukweli wenyewe japokuwa ni mchungu kwa wenyeji wa maeneo husika yanayohusishwa na shutuma hizi. Kwa upande wangu niliwahi kuwa mtumishi katika halimashauli ya misenyi mkoa wa Kagera lakini kutokana na jinsi ulivyoelezea sijaona tofauti yoyote iliyopo kati ya Kilimanjaro na Kagera. Machache niliyokutana nayo wakati nipo kule kwa ndugu zetu Wahaya ni kama haya yafuatayo, lugha ya mawasiliano ni kihaya ni ofisini,sokoni,kwenye daladala na kwingineko,ukienda dukani au mgahawani jiandae kupandishiwa bei pindi wakisikia lafudhi yako ya kiswahili tu, wakuu wa shule za sekondari zote misenyi,bukoba dc na bukoba mjini,watendaji wa kata wote ni wahaya, ukifungua biashara yoyote ujue imekula kwako kwani hakuna atakaye nunua, lugha inayotumika kanisani ni kahaya na zipo bible za kihaya kiukweli mtumishi wa serikali kufanya kazi baadhi ya halimashauri hasa ninazozifahamu mimi Kagera kama bukoba mjini,Rwamishenyi na misenyi ni kujitoa sana. Mwalimu Nyerere aliona mbali sana kwa baadhi ya makabira hapa Tanzania.
 
Naöna we una jaziba na majungu kutokana na kutokuwa na ajira. Unataka mtu asiwe recategorized ili ujiliwe wewe? Kama unaionea huruma serikali kusomesha walimu, nawe si ukasomee huo ualimu? Kwa taarifa yako kijana utasugua sana tu kama unasubiria nafasi za kuajhriwa. Nenda shamba kalime kwani lazma ukae mjini na majungu? Mtu leo mwlimu keshe mwanasheria au muhasibu au afisa mipango au HR. Mwenye nacho huongezewa kaka. We uko nje ya system walioko ndani kuna haki na sheria zinawalinda. Rudi kijijini kalime sio unakaa miji ya watu kusubiri uafisabiashara. Pole zako
 
hamjaonewa hapa kwani lisemalo lipo na kama mnaona mnaonewa basi badilisheni tabia zenu za kishamba mlizo nazo!
ila hawa wachaga
hata kama wanabebana
nadhani wanabebeka
ukimbeba hawezi kukuabisha
that why they are blessed
tofauti na siye ............
 
Wachaga wamebarikiwa na mungu mtajibeba na chuki zenu

Mchaga ni mtu mzuri sana kwenye issue ambayo haihusu pesa!

Kwenye issue inayohusu pesa ni afadhali ukutane na dubu au simba mwenye njaa kuliko mchaga. Kwake utu wa mwingine hauna thamani mbele ya pesa!
 
acha kujitoa ufahamu
 
una matatizo makubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…