Rushwa:janga la kitaifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rushwa:janga la kitaifa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MR NDEE, Nov 19, 2011.

 1. M

  MR NDEE Member

  #1
  Nov 19, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  Kwa mara nyingine tena,Polisi wameibuka kidedea katika mashindano ya taasisi mahiri kwa kupokea rushwa,wanafurahi na kupongezana kwa ushindi wao,hawa ni wale ambao wamepewa mafunzo ya uzalendo,moyo wa kupenda watu, wamefundishwa kutoa haki na kulinda raia kwa sharti la kupewa rushwa, hawa ndio wale waliofundishwa kupiga raia na kuwabambikia bangi, ndio wale wanaonyanyasa madereva pikipiki,malori na magari makubwa.
  Ripoti iliyotolewa na HOSSEA wa TAKUKURU,imethibitisha hilo,kauli mbiu yao ni "KUINGIA KITUO CHA POLISI BURE KUTOKA PESA"
   
 2. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #2
  Nov 19, 2011
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Makubwa jamani...Tanzania inazidi kuwa mbaya kila siku.Haki huinua Taifa...
   
Loading...