Rushwa imetamalaki, uzembe umekithiri

Tutaandamana Kumuunga Mkono Rais


*Tutasema Kweli Daima Fitna Kwetu Mwiko*
Ahadi Ya MwanaTanu
*Rushwa Ni Adui Wa Haki,Sitatoa Wala Kupokea Rushwa*


Kwasasa Wakina Mama Wajawazito Yaani Kadi Ya Kliniki Inauzwa Na Ukifika Unaambiwa Dawa Hakuna
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] TANU kaondoka nayo Mchonga! Hiki kizalia chake kina laana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TRAFFIC.........WP?,HOSPITAL IPI? N.K,INAWEZEKANA UNAHOJA LAKINI NAMNA UNAVYOWASILISHA INALETA UKAKASI...............
 
...
Trafiki barabarani utadhani wamepewa kibali rasmi, huko kwenye vituo vya polisi magereza, idara za mahakama unaambiwa live kabisa ni ama A au B! La usipoambiwa itabidi tu ujiongeze.
Trafiki wamekuwa zaidi ya kero.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…