Daraja Makofia
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 729
- 969
A long walk to freedomNimetoka kusikiliza taarifa ya habari inasema Tanzania tumefanikiwa kupata mkopo wa masharti nafuu kwa ajili ya ujenzi wa reli, sgr, mwanzo tuliambiwa tuna hela yetu wenyewe kuuhudumia mradi.
Hii inatoa picha kua serikali haina pesa, kujali watumishi, kuendeleza hayo maduka, kunahitaji pesa. Tukazane tuepushwe na kikombe hiki.
Sio vyetu, sio vyao, sio vya mtu yeyote... [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Sio vyetu, sio vyao, sio vya mtu yeyote... [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Labda kama yuko tayari kupimwa mkojo.
Najiuliza mm asee!Mtani ninakushangaa unavyolalamika ati Rushwa imekithiri,Kwani zile Bilioni nane za Kivuko kibovu zilikuwa nini??Au kuhonga nyumba za serikali kwa nyumba ndogo??
Aliyeweza kukwapua raslimali zetu akiwa na cheo kidogo atakwapua zaidi akiwa na cheo kikubwa.
Rushwa Keisha mpaka tupate Kiongozi aliyekuwa muadilifu na anayechukia rushwa na ufisadi toka ndani yake na si kuigiza.
Hakuna wa kupiga na na rushwa hapo, ni blah blah za kupiga zaidi.
Hao ni wapumbavu a.k.a wajinga waliokomaa, badala ya kuongelea ufumbuzi wanatajataja watu, mtu mmoja atakusaidia nn, a fallen creature! Mtu mwenye tamaa zake na udhaifu wake unaenda kumtaja kama vile unataja jina la Mungu, sio upumbavu ni nn huo?Soma vizuri hoja yangu ndiyo uje na Lowassa.!Haijalishi mwizi yuko upande gani!Hata Mwenyezi Mungu anakusamehe pale unakiri maovu yako na kuacha uovu.Ukiiba unatakiwa ukiri na urudishe mali uliyokwapua.Hakuna Kiongozi yeyote hapa Tz aliyeiba akakiri ameiba na akarudisha.
In short hakuna wa afadhali.
Kiboko cha kukomesha rushwa ni mtoa rushwa kukataa kuto rushwa hata kama atashawishiwa kutoa rushwa awetayari kukubaliana na matokeo yote,kama kaiba awe tayari kufungwa kama ana makosa ya usalama barabarani awe tayari kulipa faini.Sio kweli,mda mwingine MPOKEA RUSHWA anaweza kukushawishi UMPE RUSHWA.Mara kadhaa matukio yameripotiwa na baadaye wahusika wanaachwa,hata wabunge walishawah kukamatwa kwa Rushwa on the spot je walifungwa???
May Allah bless Me and You
Hao ni wapumbavu a.k.a wajinga waliokomaa, badala ya kuongelea ufumbuzi wanatajataja watu, mtu mmoja atakusaidia nn, a fallen creature! Mtu mwenye tamaa zake na udhaifu wake unaenda kumtaja kama vile unataja jina la Mungu, sio upumbavu ni nn huo?
Kutaja taja watu ndio kumewaponza mpaka leo hii, wote mbaowataja wanawafanya nn sasa hivi?
DAWA YA NCHI HII NI KUWEKA MAJINA YA WATU PEMBENI NA KUFUFUA MFUMO WA KUONGOZA NCHI, CHINA HAKUNA UPUUZI KWAKUWA HAKUNA MTU ANAWEZA KUKAA JUU YA MFUMO HAPA MTU AKIWA KIONGOZI MFUMO WOTE ANAUTAWALA, HAPO LAZIMA SHIDA HIZO ZIENDELEE, KILA MTU ATAKUJA NA UOVU WAKE , LAKINI MFUMO HUWA HAUNA DHAMBI NA WALA HAUTENDI DHAMBI,
Usifanye makosa boss!Umesema kweli tupu..
Hali ni mbaya sana.
Trafiki Polisi ndio wamekuwa manyang'au au niseme ni wakora kwa wananchi. Kosa dogo tu wanataka hela(rushwa) au unaona anaanza kuprint ile fine. Toka kufutwa kwa road license kila Trafiki barabarani anataka kadi ya gari.
Lakini hili na makosa mengine ni makosa ambayo mtu anaweza kupewa onyo au elimu. Sio kila kosa Lazima mtu awe penalised.. Shame kabisa.
Kwenye madawa huko nyepesi nyepesi ni deni la MSD kwa serikali ni Mabilioni mengi tu. MSD has lost its purchasing power na hayo maduka yatakufa tu. Ambapo hayajafunguliwa ni Ndoto kufunguliwa.
Hospitalini huduma ovyo na morali ipo chini.
Wapo busy kumsaidia Lipumba kumaliza CUF na UKAWA..
Shame.
Vita dhidi ya Rusha ni yetu sote. Ukiombwa rushwa,usikubali kutoa. Takukuru wapo,call them to help you. Kuhusu,Msd,naona mmeingiza propaganda. Can you plz provide us with facts? Ifikie pahala,tupunguze porojo za ushabiki wa kisiasa.Umesema kweli tupu..
Hali ni mbaya sana.
Trafiki Polisi ndio wamekuwa manyang'au au niseme ni wakora kwa wananchi. Kosa dogo tu wanataka hela(rushwa) au unaona anaanza kuprint ile fine. Toka kufutwa kwa road license kila Trafiki barabarani anataka kadi ya gari.
Lakini hili na makosa mengine ni makosa ambayo mtu anaweza kupewa onyo au elimu. Sio kila kosa Lazima mtu awe penalised.. Shame kabisa.
Kwenye madawa huko nyepesi nyepesi ni deni la MSD kwa serikali ni Mabilioni mengi tu. MSD has lost its purchasing power na hayo maduka yatakufa tu. Ambapo hayajafunguliwa ni Ndoto kufunguliwa.
Hospitalini huduma ovyo na morali ipo chini.
Wapo busy kumsaidia Lipumba kumaliza CUF na UKAWA..
Shame.
Majina ya wahusika plz.PSPF wanakula rushwa za wastaafu ili waharakishe malipo,hili shirika hawana hata aibu kula hela za vizee
Kuna Uzi humu unawajadili