Ni kweli,halmashaur kwa sasa ukienda wanatia simanzi,just kusoma magazet na kuperuz mitandaoni[emoji23][emoji23]Huu ni ukweli mchungu mkuu thanks kwa kuusema. Unachukua vyanzo vyote vya mapato vya halmashauri na kuwaacha hohehahe what do you expect? Halafu kituko kingine kwa kuwa kazi zilizokuwa zinafanywa na Halmashauri zimechukuliwa na TRA nimewasikia TRA wametangaza nafasi za kazi mpya 400 lakini sijasikia Halmashauri zikipunguza watu. Hakuna kazi siku hizi halmashauri zaidi ya kupiga soga tu. Lets wait and see ila tunakoelekea si salama tuuachie muda utatupa majibu.
LOWASA?
Sio kweli,mda mwingine MPOKEA RUSHWA anaweza kukushawishi UMPE RUSHWA.Mara kadhaa matukio yameripotiwa na baadaye wahusika wanaachwa,hata wabunge walishawah kukamatwa kwa Rushwa on the spot je walifungwa???Mtoa rushwa ni hatari zaidi kushinda mpokea rushwa kwa kuwa yeye ndiye anayemshawishi. mpokea rushwa ili asiadhibiwe katika uovu wake,na kama ana lazimishwa kutoa rushwa ili apewe huduma ambayo ni haki yake kupewa pasipo malipo yoyote kwa nini waendi kutoa taarifa TAKUKURU.
Watoa rushwa ndio wanaokwamisha juhudi za kupambana na rushwa,wasingekuwa wanatoa rushwa,mpokea rushwa asingekuwepo kwa kuwa angekosa rushwa ya kupokea kwa kuwa mtoa rushwa hayupo.
Wangekuwa wanalazimishwa kutoa rushwa wangekuwa wanakwenda kutoa taarifa kwenye vyombo husika na hii rushwa wanaolialia nayo kuwa wanadaiwa rushwa isingekuwepo.
Lakini wengi wao wanatoa rushwa kwa hiari yao wenyewe kwa sababu ya kujilinda na uharifu wao,au wanakuwa wamekataliwa kama CCM ambao ili waweze kuchaguliwa na ili upate cheo chochote ndani ya CCM ni lazima utoa rushwa kwa lugha ya heshima inaitwa takrima.
Usisahau Bil 200 za wakandaras hewa ambazo CAG aliziripot kwenye reports zake awam ya 4Mpaka leo miaka miwili hajawahi kushtukiza kweney Wizara ya Barabara maana kila akipita maeneo anakumbuka Bilioni nane za Kivuko kibovu na zile deal zake za Nyumba za serikali na nyinginezo.
Mtani kumubuka nimesema SIFUKUI MAKABURI usinijaribu maana sijaribiwi
Usisahau Bil 200 za wakandaras hewa ambazo CAG aliziripot kwenye reports zake awam ya 4
May Allah bless Me and You
SRG mbona ilishasemwa kuwa ni mkopo mda mrefu sana, utakuwa hufuatilii habari weye.Nimetoka kusikiliza taarifa ya habari inasema Tanzania tumefanikiwa kupata mkopo wa masharti nafuu kwa ajili ya ujenzi wa reli, sgr, mwanzo tuliambiwa tuna hela yetu wenyewe kuuhudumia mradi.
Hii inatoa picha kua serikali haina pesa, kujali watumishi, kuendeleza hayo maduka, kunahitaji pesa. Tukazane tuepushwe na kikombe hiki.
Kuanza kusemwa kua ni mkopo ni baada ya Zuma kuja, Raisi akaomba asaidiwe ujenzi ila kabla ya ujio wa Zuma alikua akiunadi mradi kua utahudumiwa na pesa yetu wenyewe kwa kua pesa tunayo.SRG mbona ilishasemwa kuwa ni mkopo mda mrefu sana, utakuwa hufuatilii habari weye.
Ziara za kipuuzi tuh!zisizo endelevu wala za kujenga zaidi ya kutumia kodi ya wananchi..!Vipi kuhusu ziara za kustukiza ?
Hospital sasa hivi sio sehemu salama kwa uhai wa ndugu zetu!dawa tuh ni shida...!sijui huo unafuu kwa wanyonge uko wapi?!Alafu unakuta wajinga wawili watatu wanasemaeti Heshima imerudi katika nchi yetu,ivi watu wengine wanaishi wapi tofauti na Tanzania yetu hii?Asee hositalini ndio kuna vituko kuliko sehemuzote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda kama yuko tayari kupimwa mkojo.Usiseme sana utatishwa kwamba unamtukana mtukufu,ongea taratibu............Kumbuka hatufukui makaburi yetu tunafukua ya kwao tu
Labda kama yuko tayari kupimwa mkojo.