Rushwa hupofusha macho na wala Rushwa huupotosha Ukweli. Je Vita ya Uchaguzi wa Rais imeanza CCM?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,048
142,160
Je, ni kweli Chadema inatumiwa na kundi fulani linalotaka uRais wa JMT kule CCM?

Mzee Wassira kwa sasa ndiye Mwanasiasa mkongwe aliyebaki Kwenye Uongozi wa CCM maneno yake lazima kayafanyia Utafiti wa kutosha

Je, hatuwaoni Baadhi ya viongozi wa Chadema Kwenye mikusanyiko ya Wasaka uRais wa CCM iwe Makanisani au Mpirani?

Basi msisahau, Rushwa hupofusha macho.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
 
Wasira ni mpuuzi anayechumia tumbo. Samia anaanza kuharibu mambo kwa haraka sana. Kiongozi mzuri siku zote hujulikana wakati wa misukosuko kama sasa kwenye hili sakata la bandari.
 
Back
Top Bottom