Huyo mdau bado mdogo sana, yaani unakuta wewe ndiye unaomba kutoa rushwa, na jamaa anaweza kukataa kupokea hiyo rushwa kama dau ni dogo. Haahahh eti rushwa ina faida gani, sema tu ni adui wa haki baaassiiMkuu una umri gani?
Pia una kazi gani?
Hahahaha!!!!
Mkuu
Ulishawahi kufanya biashara au mishe zinazohusisha leseni na vibali vingi?
Sikia rushwa haombi mtu Ila wewe mwenyewe utatoa kunusuru mision zako.
Ukiona mtu anakuomba rushwa jua huyo hajui anachokifanya au ana tamaa tu.
Nilishawahi kujenga fence ya nyumba ya mtu ili tu kunusuru mishe zangu.tena najenga fence hiyo bila kuombwa na Mimi Sina hata kibanda![]()

