Msauzijoseph
Member
- Feb 2, 2022
- 40
- 25
WanaJF mimi nataka nijue hivi rushwa huwa ina faida gani? Katika tathmini kubwa ya maisha imekuwa kila mahali? Na je pale Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa inapomkuta mtoa hongo na mpokea hongo wote huchukuliwa hatua gani na kama adhabu zitaenda kwa haki?
Siku moja nilikuwa nina mazungumzo na mdada mmoja alikuwa anatafuta kazi,akaitwa afanye interview,baada ya hapo alifaulu kwa alama nzuri lakini baada ya interview.
Yule mwajiri akamuomba tunda(atoke nae kingono) lakini lile suala lilimuumiza yule dada, sikujuaga kilichoendelea lakini yule dada alipata kazi akaajiliwa kwenye ile kampuni.
Pia hivyo hivyo kuna mwingine alikuwa anaenda kufanya kazi lakini kabla ya kwenda kuanza majukumu ya kazi akakutana na boss kwanza na nilimpeleka mwenyewe mpka lounge na alikuwa amenona.