Rural Promoter | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rural Promoter

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by nmf, Mar 13, 2010.

 1. n

  nmf New Member

  #1
  Mar 13, 2010
  Joined: Mar 12, 2010
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  EMPLOYMENT OPPORTUNITY

  In the process of consolidating the activities related to CEFA NGO in Ikondo Ward (Njombe District), and with special reference to its socio-economic promotion activities, the partners of Cefa Ikondo Project wish to inform the general public about the following employment opportunity for one:

  Job Title: Rural Promoter

  Duty Station: Ikondo Ward

  Duration of the Assignment: 1 year, with possible extensions

  Starting Date: 13/04/2010

  Specific Duties / Responsibilities:

  § animation and social promotion of the local communities;
  § enhancing primary sector related activities into the Ikondo Ward;
  § supporting the launch of new Income Generating Activities within the Ikondo Ward;
  § planning and managing socio-economic and educational activities;
  § organizing vocational training courses and seminars to develop technical and organization skills;
  § after-training follow-up support for local beneficiaries.

  Required Qualifications and Related Experience:

  § should posses a Degree or Advanced Certificate in Education or Community Development, issued by a recognized Academic Institution;
  § should have experienced at least 6 months; former, proven job experiences and/or internships pertaining to socio-economic promotion in rural contexts are a preferential condition;
  § ability in conducting training and capacity building sessions;
  § problem solving and organizational capabilities;
  § teamwork ability in multicultural contexts, with project staff and local partners;
  § computer knowledge;
  § proficiency in written and spoken English language;
  § ability to create manuals and regulations is appreciated.

  Payment / Salary:

  Attractive from the onset of tenure, and adjustable during the tenure to accommodate increased cost of living.

  Mode of Application:

  Invitation is hereby given to qualified Tanzanian citizens to apply for the post.
  If you posses the cited qualifications send your application, by specifying the position you are applying for, together with detailed CV, copy of certificates; it is required the scanning of each certificate. Applications not accompained by the requested documents won't be considered valid.
  Furthermore it is necessary to leave your telephone number in order to allow us to get through to you as soon as possible.
  Send transcripts and names of three references to:

  e-mail only: cefa.ikondoproject@gmail.com

  Deadline for application: 29/03/2010

  -----------------------------------------------------------------------------------

  NAFASI YA KAZI

  Katika mchakato wa kuimarisha shughuli zinazohusiana na shirika la CEFA kwenye Kata ya Ikondo (Wilaya ya Njombe), hasa kulingana na mipango yake ya uhamasishaji wa jamii kiuchumi, wanachama wa mradi wanapenda kuutarifu umma kuwa kuna nafasi moja ya ajira:


  Madaraka ya Kazi: Mhamasishaji wa kijijini


  Kituo cha Kazi: Kata ya Ikondo


  Muda wa Mkataba: mwaka mmoja. Itakuwepo nafasi ya kuongeza muda utakapoisha mkataba wa kwanza.


  Tarehe ya Kuanza Kazi: 13/04/2010


  Majukumu Maalum:


  · kuimiza na kuhamasisha jamii ya Kata;
  · kuboresha shughuli za kilimo vijijini;
  · kuwezesha uanzishaji wa shughuli npya za kuinua mapato Katani;
  · kubuni na kuongoza shughuli za uchumi na elimu ya jamii;
  · kupanga kozi na semina za kitaalamu ili kuongeza ujuzi wa kiufundi na uendeshaji wa biashara;
  · kufuatilia maendeleo ya wananchi wa Kata waliohudhuria kozi.


  Uzoefu wa Kazi na Vigezo vya Kuzingatia:


  · Shahada au Cheti cha Elimu ya Juu katika Elimu au Maendeleo ya Jamii, kutoka kwa Chuo cha Elimu kinachotambulika;
  · uzoefu wa kuanzia miezi 6 na kuendelea; wenye uzoefu wa kazi au majaribio (fieldwork) katika uhamasishaji wa jamii kijijini, watapewa kipaumbele zaidi;
  · uwezo wa kuongoza semina za kuelimisha watu na kuhamasisha ustadi vijijini;
  · uwezo wa kuchanganua mambo na kupanga kazi;
  · uwezo wa kazi ya pamoja na mahusiano, katika mazingira ya tamaduni mbalimbali, pamoja na timu ya mradi, jamii inayozunguka, na taasisi zinazoshirikiana;
  · uwezo wa kutumia compyuta;
  · ujuzi wa kiingereza, cha kuandika na kuzumgumza;
  · utathaminika uwezo wa kuandika miongozo na masherti ya utaratibi


  Malipo / Mshahara:

  Malipo mazuri ya kuendana na madaraka ya kazi. Marekebisho yatawezekana wakati wa kazi, ili kujikimu na gharama ya maisha inayoongezeka.


  Namna ya Kuomba:


  Watanzania wenye vigezo wanakaribishwa kuomba nafasi hii.

  Kama una vigezo vilivyotajwa, tuma barua ya ombi, ukitaja kwa uwazi nafasi gani ya kazi unayoomba, pamoja na CV na kopi za vyeti vyako vya elimu (scanned documents). Maombi yatakaofika yakiwa hayajaambatanishwa na vyeti vilivyotajwa hapo juu, hayatapokelewa. Pamoja na hiyo ni lazima kuandika namba ya simu, ili kurahisiha mawasiliano, na majina ya wadhamini watatu.

  Vieti vyote vitumwe kwa:

  barua pepe tu: cefa.ikondoproject@gmail.com

  Tarehe ya Mwisho kwa Kutoa Ombi: 29/03/2010
   
 2. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Tar ya kuanza kazi 13 march 2010, tar ya mwisho ya kuomba kazi 29 march 2010, mmmmmmhhhhh...

   
 3. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,017
  Trophy Points: 280
  Njombe kuzuri mkajenge taifa lenu
   
 4. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,953
  Likes Received: 1,509
  Trophy Points: 280
  Mambo ya kuanza kunywa ulanzi na ugimbi ukubwani,na baridi la huko la Jo'burg limesingiziwa,
  Nigwisai lelo hm
   
Loading...