kweli kama co firimasoon ni chuma uleteKweli kijana eeeeh???
Me nimeuliza tu kwa 7bu nimesikia kuna watu wanazinunua kwa bei mzuri sana ila kabla sijaiuza hii yangu naomba kujua wanazihitaji kwa madhumuni ganiWewe unazo kwa sababu gani hadi uanze kujua wanaozitafuta wanazitafuta kwa matumizi yapi?
kwanza: hazina kazi yeyote.Wanaotafuta hizi hela sijafahamu wanahitaji ili wazifanyie nini...!!???
Tangia nikiwa mdogo hadi leo sijui siri ya hawa watu wanaozihitaji na sijaona aliyenithibitishia ukweli wa biashara hii! ???
Kwa wale wanaoelewa hii biashara msaada wenu wa kiufafanuzi tafadhali.
Maana moja tu kati ya hizo pesa ninanazo ila soko lake naona kila mtu ananitajia kiwango chake sasa naomba kwanza kujua huwa wanazihitaji kwa ajiri gani kabla nami sijawauzia.View attachment 828203
duh!!Jirani yangu anachimba inasemekana alianza hii kazi alipo hitimu elimu yake ya middle school 66,mzee bado hakati tamaa sasa ana miaka 70+
Kama yeye anazo siaziuze abige mabilion hayoWewe unazo kwa sababu gani hadi uanze kujua wanaozitafuta wanazitafuta kwa matumizi yapi?
Me nimeuliza tu kwa 7bu nimesikia kuna watu wanazinunua kwa bei mzuri sana ila kabla sijaiuza hii yangu naomba kujua wanazihitaji kwa madhumuni gani
Hakuna alicho ambulia ametumia garama nyingi za kulipua miamba sasa kafilisikaSijakuelewa mkuu nini unamaanisha