utukufu mwanjisi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 2,846
- 2,512
sijui linahusiana nin na maendeleo yetu sisi wa Busokelo tumelizika na mbunge wetuKufika tu kwenu ni kama kupanda punda wa msimu.
Ujionee aibu ukiwa pale Katumba, mnabanana kama viroboto.
alikufa nan? uchaguz wa 2015 waliokuambia walikulisha tango poriNi aibu sana Rungwe kuchagua mbunge duni kama Sauli Pataya , tena kumtangaza kwa njia ya mauaji !
huyo mwabukusi angoje 2040 labda lakin sio busokeloMe mwenyew kwetu ni busokelo pale kandete,nakushangaa sana unaposema kwetu hamna shida au nyie ndio wapambe wa atupele mbuge mzigo kuliko wabunge wote wa tz,maendeleo gani unayosema ww mburula ,nauli tu kutoka katumba ni 4000 wakati km ni 33 tu iweje useme hatuna shida?kyejo tuna gesi lakin je umewah ona faida yoyote iliyotikana na hiyo gesi pamoja na kwamba kila cku gesi inaondoka na barabara ni ile ile miaka nenda .punguza ushamba wako katika kitu ninachowalaumu watu wa busokelo ni kuchagua mbunge kama atupele na kumtosa msomi wa sheria Boniface mwabukusi na hii laana itatutafuna tusipompa 2020.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nikurekebishe hapo. ...wanyakyusa sio wanajiona ila ndo kabila superior kabila kwa mbeya hata huyo msafwa akifika mjin anajitambulisha kuwa Mnyakyusa hasemi msafwaAtaiba, Wanyakyusa wanaroho ya ubinafsi na dharau wanajiona wao ndo Kabila superior kwahiyo wanahaki ya kutawala makabila mengine, hata ukiangalia namna wakati wa kukata mkoa makabila mengi yaliyataka kwenda mkoa Wa Songwe
Sent using Jamii Forums mobile app
ukwel upo mana kabila la wandali(wilaya ileje ) wakataa ili rungwe isiwe mkoa mana ndo wilaya ambayo ilitakiwa iamue kuwa nan apewe na iungane nae ndo wakaenda songwe kwa kisingizio wanyakyusa wababeHahaha, hii kali, hili lina ukweli wowote ule ?
wahaya na wanyakyusa kinachotu cost ni misifa imetujaa sana wavimbaji wakubwa sana mijini viburi sana mijin lakin makwetu hadi aibuNimekaa nimejiuliza sana hili swali kuhusu Wahaya na Wanyaki. Lakini kama ulivyoniambia Mind-Set ndiyo tatizo kubwa.
hujakosea mkuu sisi Tunavibur na dharau sio kidogoUkiishi mmkoa wa Mbeya utajua kwanini makabila mengine hayawapendi Wanyaki, ingawa wao hawakubali yani kama Wakoloni walivyowapendelea Wachaga na Wahaya wao wakajiona ndo wanajua kutawala makabila mengine, kiujumla Wanykyusa ni watu wenye kiburi na dharau awe mwanamke au mwanaume awe na pesa au asiwe na nazo kwao ni kawaida
NATUNZA COMMENT YAKO MKUUViongizi wetu bubu na mabomu ya mkono tutaendelea kuwananga popote pale kama hawafanyi kazi watarajiwayo kufanya.
La kwanza barabara ya kufungua wilaya kimaendeleo.
Katumba~Lwangwa ~Itete~Mbambo~Masoko~ Tukuyu barabara hii ni kilio cha miaka nenda rudi.
Wabunge wetu kimya utafikiri nao ni watazamaji tu.
Mkuu wewe na unayemuunga mkono ni WABINAFSI wa hali ya juu.Umenyoosha mkuu mana anatusemea na sisi wa Busokelo yeye aongelee ya huko kwao kila mtu apambane na khari yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Unachoongea kimsingi ni ujinga wa kutokomaa kiakili.Naomba nikurekebishe hapo. ...wanyakyusa sio wanajiona ila ndo kabila superior kabila kwa mbeya hata huyo msafwa akifika mjin anajitambulisha kuwa Mnyakyusa hasemi msafwa
Sent using Jamii Forums mobile app
LIKE KUBWA SANA KWAKO MKUUNgoja niwaache Wahaya, niwaongelee Wanyakyusa. Wanyakyusa ni watu wa kusaidiana ila si watu wa kunyanyuana. Wanyakyusa (wanaoishi nje ya kwao) husaidiana kwa tahadhari sana, anayekusaidia huwa makini kuhakikisha hauji kumzidi hapo baadaye na ikitokea ukaonyesha mwekekeo wa kumzidi basi anaweza akakuanzishia tifu from no where, mara upo Pol8si mara Mahakamani. Hao ndiyo Wanyakyusa wa ugenini.
Na wanaposaidiana huwa wanahakikisha anakufahamu na kawaida kuna ubaguzi miongoni mwao.
Wanapokuwa na vikao vyao usitarajie utamkuta wa Keko Magurumbasi amechanganyikana na wa Upanga.
Kuhusu kunyanyuana huwa hawajadili mipango ya maendeleo ya kwao bali huibua mijadala ya majungu tu na kupingana kusiko na tija. Hawawezi kufikiria kwenda kusaidia shule, barabara au hospital, hawajadili mazingira ya elimu, afya n.k wanayopitia watu wa kwao sababu tu watoto au familia zao haziishi huko. Walio kwenye nafasi hawawezi kujenga ushawishi wa mipango kadhaa ya kimaendeleo ikafanyike kwao sababu hawai fikirii jamii ya kwao na watu wao, bali huwaza na kuishia katika level ya familia au ndugu tu.
Wanapenda sana sifa kwa kujisifia maendeleo ya kwao yaliyoletwa wakati wa mkoloni wakati wao hawajachangia hata moja. Akina Mwandosya ndiyo hao wanazeeka na sasa wanahitaji kupumzika. Lakini kwa bahati mbaya sana hakuna aliyeiga na kufuata mfano wake, mbaya zaidi walikua busy kujifanya wapo karibu na Mwandosya na wanamfahamu sana. Moyo wake na intelligence yake anazeeka nayo.
Kuna wakati Wanyakyusa likikua ni kabila la kujivunia, lakini siyo hawa Wanyakyusa wa hivi sasa, sijui wametengenezwa maabara!! Wamepausha na kuupoteza kabisa unyakyusa asilia.
unaota. ..?Tujiulize mbunge wetu waliingia kwa njia gan .....!?...pataya harudiii tena ..2020
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukbila haujawahi kumwacha mtu salalma.Naomba nikurekebishe hapo. ...wanyakyusa sio wanajiona ila ndo kabila superior kabila kwa mbeya hata huyo msafwa akifika mjin anajitambulisha kuwa Mnyakyusa hasemi msafwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unayoamini binafsi achilia mbali.
Kujenga hoja na kuitetea kwa ajili ya wananchi wako ndo inamfanya mtu aitwe mwanasiasa mahiri.
Mtu mbunge ukiwa kimya miaka mitano mizima una faida gani kwa wananchi?
Nakumbuka Mwambigija alituletea shida sana maana ndo lilikuwa chaguo la wengi, lkn policecc_ walitushughulikia kweli kweli mpaka kapita Pataya.
Sina uhakika kama jamaa anaw weledi wa kuandika hoja na kueleweka.Nasikie eti wanawasilisha hoja zao kwa maandishi na sio lazima wasimame bungen kuchangia hoja ama kuongea matatizo ya majimbo yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina uhakika kama jamaa anaw weledi wa kuandika hoja na kueleweka.
Kuongea tu hawezi, itakuwa kuandika?
unaota wwNakumbuka Mwambigija alituletea shida sana maana ndo lilikuwa chaguo la wengi, lkn policecc_ walitushughulikia kweli kweli mpaka kapita Pataya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefuatilia comments zako zenye mtizamo hasi juu ya wana Rungwe.