Rungwe tuna wabunge bubu!

Unaandika kimihemko Sana halmashauri yenyewe changa unaijua Barabara ya mpemba to itumba ileje? Ndo kwanza inajengwa sasa hivi sasa Kati ya ile na ya kwenu ipi ni muhimu? Kila kitu kinaenda in gradual process huwezi fanya kila kitu at the same time. Na sijakataa miundombinu ni muhimu ndiyo maana niliuliza unaifananisha busokelo na halmashauri gani? Kwa ukongwe na kimaendeleo kuna halmashauri huo umeme tu na maji wanausikia kwenye kampeni sasa kwa nini wasipate hao kwanza huduma hizo? Na ndo maana wanyakyusa tunaandamwa kwa ubinafsi
 
Wakuu huyu jamaa sijui yuko dunia gani!
Off point and off topic, kwa wapambe kama hawa kwa wabunge wetu, maendeleo hayatawezekana.
 
Kuna sehemu inaitwa RUNGWE kweli ama umekosea ni yule mgombea uraisi mwenye madevu aitwate hashim rungwe?
 
Mihemuko gani ndio maana nimekuita ww ni fala maana hujui hata unachokiongelea ,labda nikwambie tu kwa jimbo la busokelo kukosa barabara ya uhakika naweza sema ni uzembe wa viongoz wetu tunaowachagua kwa kuhadaiwa na mifuko ya sukar,Yale mapato ya gesi ya kyejo yalitosha sana kujenga kipande cha barabara hata ya makapi ya lami kutoka katumba to mwakalel ambapo hata kiwanda chetu cha chai kingesimama imara kwa muda wote,ivi unajua kinachosababisa kile kiwanda kinazarisha kwa msimu?tatizo ni ubovu wa barabara maana bara bara ingekuwa nzuri chai ya kuchakatwa ingetoka hata ushirika na kuja mwakalel ili kukipunguzia kazi kile cha katumba ,sasa ww na ujuha wako eti na wengine wakapate barabara at the same time unadai busokelo hatuna shida ,.punguani wa head wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu msamehe bure huyo juha.
Sisi kilio chetu kiwe barabara, barabara, barabara!
 
Jf imekosa weledi wa kubishana kwa hoja siku hizi usiniite punguani wa head mtu hujui hata matumizi ya L na r. Njoo na analysis hiyo gesi uchwara inaingiza sh ngapi kwa mwaka na ni kiasi gani kinabaki halmashauri .
Kiwanda chenu cha chai kimekuwa misalocated tu kuna kipindi chai inakauka mpaka wanakifunga maana hakuna chai ya kutosha kuhudumiwa na viwanda viwili mwaka mzima.
Kwanza nitajie mradi hata mmoja ulioanzishwa kule kwa ufanisi wa 100% bila kuingiliwa na migogoro ya wenyeji.
Tatizo ni nyinyi wenyewe kama wewe unakaa kuponda viongozi wakati hujafanya jitihada yoyote kukomboa jimbo lako
Atupele ni rafiki yangu Sana The guy is smart but watu Aina ya wewe mnaojificha humu na ID fake ndo mazuzu to the maximum.basi nakushauri gombea 2020 chukua Jimbo uuze Mali zako ujenge wewe ile barabara
 
Hahaha tokea mwanzo unajikanya oohooo sisi watu wa busokelo hatuna matatizo kumbe hata sio mzaliwa wa huko ila ni kibaraka wa mwakibete na nikwambie tu 2020 huyo jamaa ako unayemwita smart umshaur asirud busokelo coz kati ya wabunge dhaifu na wasio na mchango wowote kwa jimbo letu ni huyo rafiki ako mchumia tumbo ,then una mawazo ya kiwaki sana yaan unataka analysis ya mapato nikuwekee hapa kweli ww ni jua pia hujui majukumu ya mbunge ,mbunge kazi yake ni kuwa na lugha ya kushawishi awapo bungeni na kuomba miradi ielekezwe jimboni kwake ,sasa huyo rafiki yako anakijua nini zaidi ya ndiooooo na kisain posho? Karne hii sio ya wajinga tena na matatizo ya wanabusokelo tunayajua sisi wanabusokelo sio nyie wabeba makoti ya atupele ndio maana mnajifanya kuhadaa watu eti busokelo hakuna matatizo.Tena mwambie rafiki yako asijaribu kuchukua form safar hii vijana tumekataa kabisa kuongozwa na mbunge bubu yaan hata kama tuko mbali na nyumbani 2020 tumejiapiza tutashuka huko busokelo kulipigania jimbo letu na 2015 mliwahadaa wazee wakawapa kula sasa safar hii wazee watakaa pemben tutasimama vijana tuu .Na hili liweke kichwani sisi tunataka MTU smart na sio goigoi na bahati nzuri sisi hatutaangalia katoka chama gan iwe ccm au chadem au act kikubwa awe smart na kama ccm watampitisha tena atupele kwenye kura za maoni basi huo ndio utakuwa mwisho wa ccm kuongoza jimbo la busokelo,liweke akili hilo na mfikishie taarifa huyo smart goi goi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You are insane lonely pathetic baboon! Wewe Nani mpaka uongee eti asithubutu kuchukua form na unajuaje kama mimi siyo mzawa wa mwakaleli? Nachojua mimi ukoo wako wote watampigia tena Mr. Mwakibete
Ungekaa uwaelimishe mabazaz wenzako waache kugombania tuvyeo twa miradi inayoishia njiani hawana.Kwanza hamjui kuishi na watumishi wageni wengi wanakimbia
 
Ur uncircumcised baboon ,bitch stay away from me ,kumbe nabishana na kima!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu jitahidi kumwambia huyo mbunge wa Busokelo, na hata SH Amon kuwa kukaa kwao kama mabubu kunaathiri maendeleo ya Rungwe.

Wakitaka kuchaguliwa tena tusikie basi kelele za kuomba barabara toka Katumba hadi Mwakaleli na michepuko yake ya Luangwa, Mbambo, Masoko hadi Tukuyu.
Mpaka sasa hivi wamefanya kazi sifuri, nimekaa sana sehemu hizo.

Kupelekwa Mwakaleli kama mfanyakazi wa serikali, ni adhabu kubwa sana.
 
Asante mkuu bora umwambie ukweli huyo kibaraka yaan anakuja anatuhadaa hapa eti busokelo kuna maendeleo hakuna shida kumbe anatetea kibarua chake cha kuwa mpambe wa Atupele, ukweli ni mchungu Atupele na Sauli wa Rungwe ni mizigo sana maana wawapo bungeni wanakuwa mabubu zaidi wanajua kuitikia ndioooooo!! Shenzi kabisa hawa wadudu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu hili swala la barabara ya katumba to mwakaleli litampeleka na maji akigombea tena maana wana nchi wa busokelo wana hasira naye sana coz kuna kipindi aliwahi sema akiwa bungeni kuwa barabara ile haina tatizo ni utelezi Mdogo tu hapo ndipo alipowauzi watu wa busokelo na wana hasira nae sana kuhusu hilo tukio ,ila ngoja nikae kimya muda utaongea kila kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli kama mbunge wa Busokelo alisema, ati barabara ya Katumba Mwakaleli Busokelo ina "utelezi kidogo", huo ni unafiki wa hali ya juu sana.

Mtu huyu ni kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya Rungwe na hajui yuko Bungeni kufanya nini.
 
SH AMON KAGEUKA KUWA MUUZA VIPODOZI MKUU UBUNGE ANAONA NI KAMA ANAPOTEZA MUDA TUU.
 
HILI TANGO PORI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…