Rungwe aeleza uteuzi wa RC Mghwira apinga,asema Kikwete mbona alimchagua Mbatia na kupenda Upinzani

Evans-Arsenal

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
868
1,000
Mgombea wa urais mwaka 2015, kupitia chama cha CHAUMA, wakili msomi Hashimu Rungwe amesema Rais Magufuli achague wote na kwamba achague na wabunge toka upinzani na sio kama njia inayofanywa sasa ya kuteua tu wapinzani walioandaliwa na vyama vyao.

Rais asipewe madaraka ya kuchagua kila mtu apendavyo yeye. Na katiba ya nchi inatakiwa kubadilishwa na kuwekwa sawa.
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
23,469
2,000

Rungwe, nchi hii ni mali binafsi ya mtu mmoja! Wanaume wote ni shamba boys na wanawake ni house girls. Wewe ni object of the Queen! Huna tofauti na kopo, kikombe, kuku, ng'ombe etc. Ndiyo maana haya yanafanyika! Katiba inamruhusu to be treated as he is doing now!
 
BRUCE LEE

JF-Expert Member
Dec 11, 2010
2,098
2,000
Ila tukiacha uchama huyu jamaa yuko vzuri aana upstairs..... akipata chama kizuri aingie bungeni atakuwa msaada mzuri sana hasa kwenye kambi ya upinzani. Kwanza hana jazba hana lugha ya kuudhi au kejeli.

Big up rungwe
nitaendelea kumuheshimu na kumuenzi rais wa moyo wangu Hashim sipunda Rungwe.
 
BRUCE LEE

JF-Expert Member
Dec 11, 2010
2,098
2,000
Duh umetsha
kwanini mkuu? unajua nilipata bahati ya kukutana na huyu rais wangu kigoma kipindi cha uchaguzi tulikutana kwenye chakula na vinywaji pale ndipo nilipogundua katika wagombea woote hakuna presidential material kama Rais wa moyo wangu Hashim Sipunda Rungwe, reasoning yake ipo juu saaana inahitaji akili ya ziada kumuelewa ila ukiwa na akili iyena iyena unaweza ukahisi kua rais wangu kachanganyikiwa kumbe ni Genius.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom