prophet_tz
Senior Member
- Feb 14, 2022
- 176
- 303
Hasa dem usimpigie simu mara mbili"It's all relate". Simple tu hivyo.
Rule no. 1: No taking snap under normal conditionshabari za muda huu wapendwa wa jf ....najua katika maisha kila moja Ana msimamo wake ambao mwenyewe Ana uamini ... naamini pia hapa kuna watu tofauti kila moja Ana falsafa yake ...eb share nasi yako ni ipi?
Tuanze na mimi binafsi rule namba moja yangu ni
SUKUPIGII SIMU MARA MBILI ...imeisha hiyo ....
Sahihi kabisa,