Ruksa kuoa wanawake hata kumi

Rais JK na bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, sikieni kilio hiki kwa niaba ya wana MMU pelekeni mswada bungeni tujizolee tu kama kenya hata kumi unaowa ni pumzi yako tu.

Omba uraia Kenya, itakuwa short cut
 
Wewe huna adabu unatuzarau Rich Pol na uran njooni huku kuna mtu analeta zereu kwa vidume

Mkuu upungufu wake wa nguvu asitujumlishe na sisi,
Wengine tunatoa dose mchepukoni na nyumbani adabu vile vile bila kushtukiwa.
 
Last edited by a moderator:
Watu wa dini gani wanaruhusa hiyo?

Mkuu lakini hiyo ni idea nzuri sana!
Maana dada powa hawataonekana tena barabarani hata wawili tu kwa kila mtanzania,
Mfano nchi za kiarabu mpaka wanawake wa kuoa ni adimu, unamchumbia akiwa bado mdogo,
Kijana hajaoa hakuna zinaa labda siku hizi kwa dada wa nyumbani wanaotoka east Africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…