masai dada chokoza nyuki ule asalihahhhhahh sio wewe kwani wewe untumiaga hiyo mambo
kausha basi unaniitia jeshi usiku huu tena lenye B52????unanitakia usingizi kweli?
Hiyo ni sheria ya nchi so mama hawezi kukimbili mahakamani kugawana mali kisa umeongeza mama ingine
masai dada chokoza nyuki ule asali
Tulia usiogope
Duduziiii
Rais Kenyatta asaini Muswada wa Sheria ya Ndoa ya 2014 punde huko Nairobi, sasa wanaume wako huru kuoa idadi ya wanawake kadiri wawezavyo
Hii nimeipenda inatufaa sana hapa kwetu tanzania rais JK na bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania
Sikieni kilio hiki kwa niaba ya wanaMMU pelekeni mswaada bungeni tujizolee tu kama kenya hata kumi unaowa ni pumzi yako tu!
masai dada njoo soma hii kitu ya Kichwa Ndio Mtu uweke hoja mezani ya kupingaSafi sana,mswada wa awali ulikua umekaa kibwege sana,eti ukitaka kuongeza mke lazma mke wako wa kwanza akuruhusu,ukimuahidi binti utamuoa kisha ukaghaili binti anaruhusiwa kukupeleka mahakamani akidai fidia,umempotezea mda. Safi sana kenyata.