Tajiri mpole
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 3,126
- 6,104
Jambo LA msingi si kuzuia watoto(wanafunzi) waliopata mimba kurudi shule,lamuhimu nikutoa elimu ya kujilinda wasipate ujauzito wakiwa shule.
Sasa mnaumia nini hawa watoto kurudi shule!? Ilihali kumbe pesa hamtoi nyie zote Inatoka nje kwa misaaada... Waacheni watoto wasome bwanaa..Kila jambo lina wakati wake. Ni vizuri watoto wetu wakawekewa mipaka na kujua kuwa kuna gharama (consequences) kwa kufanya mambo fulani kabla ya wakati. Hakuna anayemwonea wivu mtoto wa kike aliyezaa akiwa mwanafunzi. Tunapenda kila binti ajue kuwa uzazi unaweza kusubiri.
Asiye sikia la mkuu siku zote huvunjika mguu.! Kama hukumkanya na uliona afanyacho ni uzungu ns mambo ya kileo unatarajia nini?
Point yako ilikuwa ni hiyo na ndio maana nilisema usijifiche kwenye kichaka cha hiyo habari ili kuhalalisha hoja yako.
Nachoweza kusema tu "Jifanye ndio wewe umepata mimba au ni mzazi wa bint aliyepata mimba" Utapenda uendelee/aendelee kukaa nyumbani?
sikuzote ukidhamiria kufanya jambo jema lazima ukane nafsi maana si rahisi kufika ukiwa na moyo mwepesi kwahili la mimba binafsi naunga mkono kuwaa asirudi maana kurudi inakuwa inawapa wengine moyo kumbe hata ukipata unaweza kurudi na kitabu kikaenda ka kawaida, elimu haina siasa ama mbwembweUsijifiche nyuma ya hiyo habari, Ujumbe wako ni kuwa na wewe hukubaliani hawa mabint kurudi shule!
Hebu jiweke katika hali ya Uwewe ndio umepata mimba umejifungua na umri wako bado ni mdogo unakuruhusu kuendelea na shule lakini jamii yako haitaki urudi shule UTAJISIKIAJE?
Mnapozungumzia haya mambo muwe mnajivika "nafsi zenu" kwanza. (Ningelikuwa mimi)
mimba isiyo tarajiwa huwa ka fimbo tena kali kwahiyoilimbidi awe mpole na mnyenyekevu ili apite kipindi cha mpito ila mimba shuleni siyoNilipokua kidato cha tatu kuna mwanafunzi alihamishiwa shule yetu kumbe alikua na mtoto mchanga ananyonyesha, siku tulienda kwao ndio anatuonesha, wala hatukumshangaa au kumnyanyapaa, kipindi tupo nae hakuna mtu aliyetaka kubeba mimba eti kisa yeye alibeba mimba wala hakutufundisha kujamiiana ili tubebe mimba kama yeye wala hakudharau waalimu kwasababu eti na yeye ni mama, alikua mtiifu kama wanafunzi wengine zaidi tulimpa moyo amalize masomo vizuri na sasa yupo nchi za mbali.
Kwan lazima uvae uniform urudi shule za kawaida, mbona kuna vituo kibao vya kurisiti huko mitaani?!Usijifiche nyuma ya hiyo habari, Ujumbe wako ni kuwa na wewe hukubaliani hawa mabint kurudi shule!
Hebu jiweke katika hali ya Uwewe ndio umepata mimba umejifungua na umri wako bado ni mdogo unakuruhusu kuendelea na shule lakini jamii yako haitaki urudi shule UTAJISIKIAJE?
Mnapozungumzia haya mambo muwe mnajivika "nafsi zenu" kwanza. (Ningelikuwa mimi)
jamani tunashadadia vitu ambavyo hata kiimani na kidini havipo, mbona dini zinasema mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa ni haramu ila hatuleti mada? kimsingi watoto wasijihusishe na mapenzi ili wasijepata mimba ingali wadogo wakashindwa kutumia ujana wao katika elimuKwani mtoto aliyejifungua mtoto akirudi shule watanzania mnapungukiwa Nini!? Amalize tuu elimu yake ya secondary akifauru aendelee na masomo...
Mimi sioni tatizo lolote... Ugumu ukowapi kama sio roho mbaya za koroshow... Watoto wa kike wana haki ya kupata elimu sawa na mtoto wa kiume alompa mimba mtoto mwenzake wa kike...
ELIMU NI HAKI YA KILA RAIA KWA HIARI KAMA ANAPENDA
Hivi ni shule gani ya private imewahi kukataa kumpokea mwanafunzi Mwenye mtoto?Usijifiche nyuma ya hiyo habari, Ujumbe wako ni kuwa na wewe hukubaliani hawa mabint kurudi shule!
Hebu jiweke katika hali ya Uwewe ndio umepata mimba umejifungua na umri wako bado ni mdogo unakuruhusu kuendelea na shule lakini jamii yako haitaki urudi shule UTAJISIKIAJE?
Mnapozungumzia haya mambo muwe mnajivika "nafsi zenu" kwanza. (Ningelikuwa mimi)
Kwani huko shule wanafundisha matusi kwamba huwezi kukaa na mwanaoWanadai ni.Nchi maskini wanahitaji Msaada kiukweli inatia hasira.
Hebu fikiri mama aliye na mtoto nyumbani amekaa dawati moja na binti yako kisha wana umri unaofanana.! Unategemea watakuwa na mazungumzo gani ya ziada.?
Je hayo mazungumzo yatakuwa na athari gani kwa huyu binti ambaye huenda alikuwa anajizuia asipate mimba au asiwe na mahusiano?! Hivi hili darasa kama lina vijana wa kiume je., mtazamo wao kwa mabinti walio bado fresh..unakuwaje.!
Leo hii ukipta huku Malawi
Sio ajabu kukuta binti kwenye mkoba wake wa shule ana powder na lipstick ana wanja na nk. Sabbu sheria za shule wala wizara hazikatazi, na binti ana uhuru. Wa kufanya hivyo.
Kwan alitumwa shule kupata mimba au kusoma..waliozaa wasiruhusiwe kusoma kabisa watafute shuguli zingineUsijifiche nyuma ya hiyo habari, Ujumbe wako ni kuwa na wewe hukubaliani hawa mabint kurudi shule!
Hebu jiweke katika hali ya Uwewe ndio umepata mimba umejifungua na umri wako bado ni mdogo unakuruhusu kuendelea na shule lakini jamii yako haitaki urudi shule UTAJISIKIAJE?
Mnapozungumzia haya mambo muwe mnajivika "nafsi zenu" kwanza. (Ningelikuwa mimi)
Una matatizo na Neno "CCM" inawezekana kwako ni kama jinamizi kila ukisikia CCM unaweweseka.
Sio kila haki za binadamu ni haki sahihi kwa maendeleo na Afya ya Jamii yako kuna wakati misingi imara ya kijamii inapuuza hizo mnazoita haki za binadamu.
Kuna mikataba ya ajabu Taifa limesainishwa na watu wapuuzi walafi ambao nyinyi leo "Upinzani" mnawatetea kwa misingi ya mnachoita haki za binadamu. Nchi inaingia kwenye matatizo sabbu ya wale Mchwa na vyeti vya kubumba waliokuwa wamejazwa na mabwana zenu kwenye mifumo ya serikali leo
Rais anajaribu kuitoa Nchi kwenye makucha na uozo ule mnamwita dikteta. Na wale waliofanya ule upumbavu kwenu ni mashujaa wanaopaswa kutetewa.
Mtoto wa kike ana haki na heshima yake katika jamii yetu anaheshimiwa na kutunzwa lakini akipata mimba hilo akiwa shule hilo halina msamaha. Sehemu yake sahihi ni Nje ya shule.
Hilo liko wazi hata nyumbani kwenu binti akipata mimba kabla ya ndoa na kuzalia pale nyumbani je heshima yake inaongezeka? Au inapungua na kuondoka kabisa katika jamii yake?
"Eti nyinyi wapinzani!!Una matatizo na Neno "CCM" inawezekana kwako ni kama jinamizi kila ukisikia CCM unaweweseka.
Sio kila haki za binadamu ni haki sahihi kwa maendeleo na Afya ya Jamii yako kuna wakati misingi imara ya kijamii inapuuza hizo mnazoita haki za binadamu.
Kuna mikataba ya ajabu Taifa limesainishwa na watu wapuuzi walafi ambao nyinyi leo "Upinzani" mnawatetea kwa misingi ya mnachoita haki za binadamu. Nchi inaingia kwenye matatizo sabbu ya wale Mchwa na vyeti vya kubumba waliokuwa wamejazwa na mabwana zenu kwenye mifumo ya serikali leo
Rais anajaribu kuitoa Nchi kwenye makucha na uozo ule mnamwita dikteta. Na wale waliofanya ule upumbavu kwenu ni mashujaa wanaopaswa kutetewa.
Mtoto wa kike ana haki na heshima yake katika jamii yetu anaheshimiwa na kutunzwa lakini akipata mimba hilo akiwa shule hilo halina msamaha. Sehemu yake sahihi ni Nje ya shule.
Hilo liko wazi hata nyumbani kwenu binti akipata mimba kabla ya ndoa na kuzalia pale nyumbani je heshima yake inaongezeka? Au inapungua na kuondoka kabisa katika jamii yake?
Safi sanandiomaana serikali yetu ikazuia, ila tunawezajenga shule maalum za wazazi zenye mazingira naiundombinu rafiki, na mitaala maalum ili hawanga hawa wanufaike na kujengewa msingi imara kitaaluma
Mwonja asali haonji mara moja.Wakuu natumai mmeaka salama.!
Malawi ni Moja ya Nchi ambazo zimelazimika kuwarudisha shule mabinti ambao walipata ujauzito wakiwa bado wanafunzi.
Mabinti hawa baada ya kujifungua wanarudi na kuendelea na masomo kama kawaida sambamba na hilo ni marufuku kwa mwalimu kumuadhibu mtoto kwa fimbo. Popote katika eneo la shule.
Nimepita karibu katika shule zote za Nchi hii toka Kalonga mpaka Sanje. Kusini kabisa Mwa Malawi. Pamoja na faida za misaada ya kiuchumi wanazopata kutoka wa wafadhiri kama kujengewa majengo mazuri ya shule na kuletewa vitendea kazi kama vitabu na madaftari.
Waalimu wengi wananung'unika kushuka kwa nidhamu, kwa watoto wa kizazi hiki mwanafunzi hana tena nidhamu kama iliyokuwepo hapo awali. Kwa shule za msingi na sekondari.
Pia athari za uzinzi na uasherati kwa sasa ni kama zimefunguliwa mlango zinaa imekuwa kitu cha kawaida sana katika jamii ambapo watoto wadogo sana unawakuta kwenye madanguro au sehemu za kuendesha biashara ya ngono!
Walimu wanaofundisha mabinti walio acha watoto nyumbani wanasema ni kama darasa zima linakuwa na wamama badala ya mabinti.
Sisi kama Tanzani ni vema tukawa makini kabla ya kuruhusu huu upuuzi kutoka kwa wajiitao wafadhiri..
Mkuu ungetembelea na Mozambique pia,niliwahi kufika miaka Fulani yaani Malawi ina afadhali Mara miaWakuu natumai mmeaka salama.!