VendoPatrick Member Joined Jun 12, 2016 Posts 15 Reaction score 5 Aug 20, 2016 #1 Eti ni kweli kwa in service anayetaka kwenda kusoma chuo am hatapata mshahara mpaka amalize masomo yake? Naomba msaada kwa anaefahamu.
Eti ni kweli kwa in service anayetaka kwenda kusoma chuo am hatapata mshahara mpaka amalize masomo yake? Naomba msaada kwa anaefahamu.
steveachi JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 11,501 Reaction score 13,700 Aug 20, 2016 #2 mkuu,ni vizuri zaidi kama ukienda kupata uhakika kwa HR wako,atakuwa na maelekezo kamili
VendoPatrick Member Joined Jun 12, 2016 Posts 15 Reaction score 5 Aug 20, 2016 Thread starter #3 Ushauri mzuri! Ahsante.
mtanganyika wa kweli JF-Expert Member Joined Apr 12, 2015 Posts 2,420 Reaction score 1,724 Aug 20, 2016 #4 pitia standing order,ibara5 L(i)
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,671 Reaction score 167,734 Aug 21, 2016 #5 Kuna waraka ulikuwepo kuwepo unasema Degree kwenda masters unapewa asilimia 90 ya mshahara Diploma kwenda degree inatakiwa uchukue likizo ya bila malipo Sijui kama ni kweli kahakikishe kwa mwajiri wako
Kuna waraka ulikuwepo kuwepo unasema Degree kwenda masters unapewa asilimia 90 ya mshahara Diploma kwenda degree inatakiwa uchukue likizo ya bila malipo Sijui kama ni kweli kahakikishe kwa mwajiri wako
I Ibariki Member Joined Aug 20, 2016 Posts 48 Reaction score 21 Aug 22, 2016 #6 Mashariti ni yale ya zamani, waraka ulikuwa feki.
M Mr. Teacher JF-Expert Member Joined Jan 15, 2011 Posts 330 Reaction score 88 Aug 22, 2016 #7 Hizo ni tetesi za mtaani, zipuuze; wewe nenda shule na haki zako utapata kwa mujibu wa standing order kama kawaida
Hizo ni tetesi za mtaani, zipuuze; wewe nenda shule na haki zako utapata kwa mujibu wa standing order kama kawaida