Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,349
- 1,224
na bado utawaona watu wamevaa nguo za kijani na yellow! huwa siwaelewi kabisaaaaaaaa, ni bora kuvaa nyeusi, kuonyesha msiba tulionao nchini mwetu, mpaka 2015, tutakuwa tumemaliza kukaa matanga!
Mbona ilikuwepo hilo tangu zamani kwenye standing order ya mwaka 2009? Ruhusa lazimaupate kwa katibu mkuu utumishi, au labda sijakuelewa.
Ina maana mkulu naye anatakiwa kupewa hiyo ruhusa au yeye akiamua kuondoka hana haja ya kufanya hivyo? Kuna watu wengine huko serikalini ambao wao kwenda nje ni kugusa tu na kwa maana hiyo nahisis kama katibu mkuu anaweza kujikuta akishughulikia maombi ya watu wale wale kila siku. Sasa sijui haya ya wengine nani atayafanyia kazi!!
jamani huu ndio utaratibu toka zamani ni lazima ujaze kipi kipya hapo?
Serikalini utaratibu huo upo toka tupate uhuru! Hata kwenda kwenye mikutano ya ujirani mwema kwa baadhi ya mikoa inabidi kupata kibali toka ikulu au mambo ya nje. Sema kwasababu ya udhaifu, watumishi wengi wanavuka mipaka na kwenda nchi jirani kufanya shopping bila ya hivyo vibali!
Kuanzia sasa kila mtumishi wa serikali anayetaka kusafiri nje ya nchi, anatakiwa kupata kibali kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi, ...............ofisi ya Rais, Ikulu, kupata fomu "TFN 773", maombi hayo yawe.................
Too much big goverment.control how people live their lives.Thats why I'm proud republican small government is the solution .mambo ya Nyerere hayo yanarudiKuanzia sasa kila mtumishi wa serikali anayetaka kusafiri nje ya nchi, anatakiwa kupata kibali kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi, ofisi ya Rais, Ikulu, kupata fomu "TFN 773", maombi hayo yawe yamemfikia wiki moja kabla ya safari.
Mtumishi wa serikali atakayesafiri nje ya nchi bila kupata kibali na kuwa retrospective approval" kitatolewa kama kuna dharura na kinaweza kutolewa kwa njia ya simu.
Pia maombi yatapelekwa kwake sio kama formality, bali yatahitaji maamuzi kabla ya kibali kutolewa.
My Take:
1) Chief Secretary wa Ikulu ataweza ku deal na maombi yote ya Wafanyakazi wa Serikali ili wapate majibu katika wiki moja kama anavyosema? Sina hakika kama hili litawezekana hasa ukizingatia kwamba serikali imesambaa kutoka Kasulu hadi Nyasa!
2) Swala la kutoa vibali kusafiri nje ni priority kiasi hicho hadi liende kwa Katibu Mkuu? Hakuna mambo mengine ya maana zaidi katika kipindi hiki ambacho nchi ina lundo la matatizo?
3) Zoezi hili linakusudia kuwabana wafanyakazi wa ngazi ipi? Ni wazi kwamba wanaosafiri zaidi ni wakubwa wenyewe, kwa nini linawabe hata wadogo wanaosaffiri mara moja kwa Mwaka?
4)....
5)
OK, huyo wa sasa ndiye mpya, sababu hata kama yalikuwapo hayo ilikuwa ni wajibu wa serikali kuoa pesa ya kukusaidia ukiwa ugenini. Wapo waliopata lakini wengi nikiwamo mimi sijawahi kupata kwa kuwa sina mjomba huko. Hata majibu ya form ile niliyoijaza sina majibu mpaka leo miaka 16 imepita. Waliopata waliniambia walipata kiulaini tu ila majina yao ni makubwa. Hata niliporudi waliendelea kunirusha kichura sitambuliwi na hata nilichokileta hawakitambui hadi leo.jamani huu ndio utaratibu toka zamani ni lazima ujaze kipi kipya hapo?
Pls fafanua; safari zipi?
Za kikazi ? au hata personal?