Rugemarila ahojiwa na TAKUKURU

Rugemarila ahojiwa na TAKUKURU

baada ya kumhoji wamefananya nini? Takukuru waache usanii,rugemarila anapaswa kukamatwa na kufikishwa mahakamani kwa kutoa rushwa na kushawishi watumishi wa umma wapindishe sheria katika miamala ya escrow account. Pia tunataka kujua sethi akimatwa pia na wale wote waliopokea mabilioni kupitia stanbic bank.

sanaa, sanaa, sanaa na maigizo ya serikali ya kisanii ya magamba
 
Bilioni 73 za singasinga wanufaika ni wakina nani?? Hawa ndo waliobeba pesa kwenye magunia na lumbesa pale stanbic bank
 
Attachments

  • 1423082553752.jpg
    1423082553752.jpg
    27.3 KB · Views: 292
kwa rais tuliyenaye ni vigumu rugemarila kupelekwa mahakamani kwani mahusiano yao yameanzia toka wakati wa iptl pia kumbuka e mail iliyonaswa kutoka kwake kwenda kwa rais na hata kesi zilizopo hazina nguvu kwani sheria inasema mtoaji na mpokeaji wote wana makosa
 
Hua natafakari sana suala la Rugemalila na baadae nimegundua kazulumiwa; mwenye hoja tofauti anisaidie.
Tunaambiwa kuwa huyu jamaa aliuza hisa zake za IPTL kwa PAP kwa dola 75,000,000/= but Account ya Escrow ilifunguliwa kama standby ya malipo ya pesa toka Tanesco kwenda IPTL ambazo Tanesco waliona kama wamekua over charged, nyepesi zinasema mchongo huo Tanesco walipewa na Ruge, well kama case iliyokua imefunguliwa ilikua imekwisha nilitegemea yafuatayo.

  1. TRA wangechukua VAT yao from IPTL kwenye huo mgao wa Escrow acc.
  2. Wabia (Ruge akiwa mmoja wao) wachukue mgao wao yaani dividends, ambayo of course kungekua na kodi ya mapato, ratio ya ugawaji ingekwenda hivi 3:7
  3. Malipo yaliozidi yangerudi Tanesco
  4. Bei mpya from Tanesco to IPTL ingetangazwa baada ya hiyo case kwisha and hence hakuna sababu tena ya kuwepo acc ya Escrow.
Nacho jiuliza kwa JR ni hiki; kwanini pesa za malipo ya hisa 30 za JR ziwe tena kutoka kwenye account ya Escrow ili hali hizo pesa kimsingi ni zake? Tunakoelekea siwezi kushangaa nikisikia JR kafungua kesi ya kudai pesa zake zilizokuwepo kwenye account ya Escrow.
 
yaaani wote walioshitakiwa hakuna hata mmoja alyeshitakiwa kwa kutoa rushwa sasa wate hawa wamepewa rushwa na nani?lamsingi hapo lazima kwamza angekamatwa mtoaji wa rushwa kwanza,hapo kwa sisi kina gogo la shamba tunaona huo ni usanii
 
Tusubiri afikishwe mahakamani tuone nchi itavyotikisika.
 
Bilioni 73 za singasinga wanufaika ni wakina nani?? Hawa ndo waliobeba pesa kwenye magunia na lumbesa pale stanbic bank
Jk alisema pesa za escrow siyo umma kumbe naye amepata mgao serikali ya ccm imefanywa rushwa ndo tunu ya ccm
 
unafiki mtupu, serikali yetu inafanya kazi kwa matukio! Je, haya mambo yasingeibuliwa bungeni, lini tungesikia Bwana ESCROW akihojiwa na TAKUKURU.. Unafiki mtupu huo.....

Wamuache tu aendee na shughuli zake.
 
Mtoa Rushwa anahojiwa ama anapelekwa Mahakamani? au kwakuwa ni Mmiliki wa Mkombozi bank? Mfumo K kweli unanguvu kubwa ...
 
Kwani BOT ilivamiwa?mbona taratibu za kutoa fedha zilfuatwa. Maofisa waliohusika wako wapi?
 
Nakata mtu aliyemwaga mapesa kuhojiwa akiwa nje, Wamweke Segerea kwanza ndiyo mahojiano yaendelee. Mabilioni kamwaga na ushahidi upo..Alitoa ya nini?
 
Baada ya kumhoji wamefananya nini? TAKUKURU waache usanii,Rugemarila anapaswa kukamatwa na kufikishwa mahakamani kwa kutoa rushwa na kushawishi watumishi wa umma wapindishe sheria katika miamala ya ESCROW Account. Pia tunataka kujua Sethi akimatwa pia na wale wote waliopokea mabilioni kupitia Stanbic bank.
akamatwe kwa kulipa kodi bilion 24 kwa kuuza hisa zake?are u serious?uksema stanbic na kna seth na smba trust sawa bt rugemalila ni shujaa kalipa kodi hao wezi wengne ndio wa kukamata kutoa fadhila si kosa huwez kumpangia mtu na ela yake tuscrem jaman
 
Hua natafakari sana suala la Rugemalila na baadae nimegundua kazulumiwa; mwenye hoja tofauti anisaidie.
Tunaambiwa kuwa huyu jamaa aliuza hisa zake za IPTL kwa PAP kwa dola 75,000,000/= but Account ya Escrow ilifunguliwa kama standby ya malipo ya pesa toka Tanesco kwenda IPTL ambazo Tanesco waliona kama wamekua over charged, nyepesi zinasema mchongo huo Tanesco walipewa na Ruge, well kama case iliyokua imefunguliwa ilikua imekwisha nilitegemea yafuatayo.

  1. TRA wangechukua VAT yao from IPTL kwenye huo mgao wa Escrow acc.
  2. Wabia (Ruge akiwa mmoja wao) wachukue mgao wao yaani dividends, ambayo of course kungekua na kodi ya mapato, ratio ya ugawaji ingekwenda hivi 3:7
  3. Malipo yaliozidi yangerudi Tanesco
  4. Bei mpya from Tanesco to IPTL ingetangazwa baada ya hiyo case kwisha and hence hakuna sababu tena ya kuwepo acc ya Escrow.
Nacho jiuliza kwa JR ni hiki; kwanini pesa za malipo ya hisa 30 za JR ziwe tena kutoka kwenye account ya Escrow ili hali hizo pesa kimsingi ni zake? Tunakoelekea siwezi kushangaa nikisikia JR kafungua kesi ya kudai pesa zake zilizokuwepo kwenye account ya Escrow.
ela zilikuwa za Rugemalila..Tanesco na IPTL elewa so ruge altaka kuibiwa tbaijuka akamshtua ruge akatafta mawakili US chap dili likabumburuka dat y tba alipgwa chin almtonya mhaya mwenzake...ata ningekua mimi umenisaidia kuokoa b 75 siwez kukuacha lazma nikupe fazila ata hyo 1.6b ni ndogo tbaijuka aliyolipwa
 
Tunataka pia Takukuru wawahoji pia maafisa wakuu wa Stanbic Bank kujua ni kina nani waliwalipa mabilioni ya cash over the counter ktk mwamala ule wa hela za Sethi. Tujue iwapo ni sahihi kwa Stanbic kulipa mabilioni hayo kwa cash.

Dr. Hosea hana UBAVU wa kumhoji Sethi au Meneja wa Stanbic aliyeidhinisha miamala mikubwa ya pesa kinyume na taratibu za ki-benki. Pesa zilizotka kwa viroba, lumbesa etc

Tatizo Watanzania mna akili za samaki! Dr. Hosea aliwahi kunukuliwa na mtandao wa WIKILEAKS akisema kwamba vita ya rushwa kubwa Tanzania inakwamishwa na ofisi ya juu kabisa ya nchi hii.

Leo eti Watanzania mnataka Dr. Hosea achunguze waliochukua pesa Stanbic kwa lumbesa?! Poor Tanzanians
 
Back
Top Bottom