shadow recruit
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 1,844
- 384
IPTL ILIOKOA FEDHA ZA SERIKALI ASEMA RUGEMALIRA
Pia Rugemarila alisisitiza katika maelezo yake hayo kwamba uamuzi wa serikali, akimtaja Waziri wa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo na Katibu mkuu wake Eliakim Maswi,kuruhusu fedha hizo zitoke BOT na kumaliza mgogoro zimeiokoa serikali na hasara nyingi ikiwamo kununua umeme wa bei ghali zaidi kutoka sehemu nyingine.
chanzo: Raia Mwema.
Aaaaah story nyengine bwana! Huyo Rugemalira na muhindi wake wanaopita wakichangia taasisi mbali mbali ili kuficha sijui nini exactly waendelee tu kula hayo mafedha yao yanayotokana na mlipakodi.
Mbona makampun ya mitandao ya cm yanachangia taasisi mbalimbali na hatuwajaji vibaya
Majibu rahisi, ya kitoto na yasiyoendana na maudhui ya mada kama hili yamekuwa ndio kimbilio la viongozi wengi wabovu, wezi na wapambe wao hapa Tanzania. Sababu kuu ikiwa ni watanzania kutokuwa na upeo mpana wa kuchanganua mambo. Si ajabu kumkuta mtu tena msomi akitoa majibu ya namna hii. Nilitegemea watoto wadogo ndio wawe na majibu kama haya! Swali: Kwanini umelamba sukari? Jibu: Hata Zawadi nae kalamba!

mkuu mbona story yako nyepes hivyo weka fact na wewe co unachekacheka tuAaaaah story nyengine bwana! Huyo Rugemalira na muhindi wake wanaopita wakichangia taasisi mbali mbali ili kuficha sijui nini exactly waendelee tu kula hayo mafedha yao yanayotokana na mlipakodi.
kitaeleweka tu kama pesa za umma au laIPTL ILIOKOA FEDHA ZA SERIKALI ASEMA RUGEMALIRA
Pia Rugemarila alisisitiza katika maelezo yake hayo kwamba uamuzi wa serikali, akimtaja Waziri wa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo na Katibu mkuu wake Eliakim Maswi,kuruhusu fedha hizo zitoke BOT na kumaliza mgogoro zimeiokoa serikali na hasara nyingi ikiwamo kununua umeme wa bei ghali zaidi kutoka sehemu nyingine.
chanzo: Raia Mwema.
unamuuliza nani sasa? siyo lazima uchagie wakati mwingine ishia kutizama na kusoma post za watu wenye uwezo.Serekali ni Nani hapa?
Mwansheria mkuu?
mahakama ?
au IKULU?
au baraza la mawaziri?
"SI HALALI KWA MTU KUTIBIWA KAMA MNYAMA"
Na Mwanafunzi wa Ihungo aliyejinyonga baada ya kukosa matibabu.
Serekali ni Nani hapa?
Mwansheria mkuu?
mahakama ?
au IKULU?
au baraza la mawaziri?
Iiiishhh!! Mbona majaribio ya dawa hufanyika kwa kutumia wanyama katika hatua za awali? Ametoka likizo akiwa na kaswende,pangusa na gonoria,magonjwa ya zinaa halafu atarajie shule ijaze madawa ya kutibu huo upuuzi
mkuu mbona story yako nyepes hivyo weka fact na wewe co unachekacheka tu