Ambaye atasema alimkumbuka kwa pesa kidogo hapoHakusema anataka kumtaja mwizi anesema Ana ushahidi utakaosaidia kumjua mwizi. Punguzeni mihemko
Enzi hizo gazeti la jamuhuri kabla halijawekwa mfukoni na bashite
Kwani hamjui mwizi?Kumbe waliiba kweli na mwizi wanamjua? Sasa wapelelezi wanavyosema ushahidi haujakamilika wana maana gani? Habari hii imfikie JPM.
Aisee unafahamiana na Evelyne ??Kwahiyo Baba Eve atakula sikukuu kwenye nondo?poor him.Kweli maisha kama gwaride.
Eve collectionAisee unafahamiana na Evelyne ??
Teh teh teh teh !
Thanks mkuu,Eve collection
Hapana mkuu wote tuko sawa,ana duka linaitwa hivyoThanks mkuu,
Najua ni Eve......!
Japo nina mazoea ya kuita hivi.
Nisamehe sana kama umeboreka basi e!
Hapa JK na genge lake lazima waumbuke.Mfanyabiashara James Rugemalira anayekabiliwa na kesi ya utakatishaji fedha ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa anahitaji kuonana na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) ili ampe ushahidi wa nani anayepaswa kukamatwa katika kesi hiyo.
View attachment 656763
December 8, 2017 Rugemalira aliieleza mahakama hiyo kuwa unahitajika ushirikiano baina yake na upande wa mashtaka ili kumbaini mwizi wa Sh.Bil 309 za Serikali.
Mbali ya Rugemalira, Mshtakiwa mwingine ni mmiliki wa IPTL Harbinder Singh Sethi ambapo kwa pamoja wanakabiliwa na mashtaka 12 ya uhujumu uchumi, utakatisha fedha na kuisababishia Serikali hasara ya USD 22, 198,544.60 na Sh.Bil 309.
Rugemalira ameyaeleza hayo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi baada ya Mwendesha Mashtaka wa Takukuru, Leornad Swai kudai upelelezi wa kesi hiyo haujakamilika, hivyo anaomba ahirisho.
Baada ya kueleza hayo, Rugemalira alinyoosha mkono ambapo amesema kuwa anaushukuru upande wa mashtaka ulimchukua gerezani na kumpeleka Upanga kwa mahojiano na kumrudisha salama gerezani.
“Leo nimekuja na ushahidi, hivyo naomba nikutane na DPP ili niweze kumsaidia kumjua mwizi anayepaswa kukamatwa, kwani lengo letu ni kuonyesha kuwa tupo Innocent,” alieleza Rugemalira.
Kutokana na maelezo hayo, Hakimu Shaidi alimtaka Rugemalira kuwasiliana na mawakili wake ili waandike barua ya kuwasilisha kwa DPP kuhusu suala hilo la ushahidi wake, ambapo ameahirisha kesi hiyo hadi January 5, 2018.
Chanzo: Millard Ayo
Wanajuana !Kumbe anamjua huyo mwizi eh!
ha ha ha namfahamu kimjini mjini lol na yule kaka yake ze don..Aisee unafahamiana na Evelyne ??
Teh teh teh teh !
haponi mtu apo.nchi itatingishikaMovie inaelekea kutamu
Huyo mzee Ruge asitupoteze na asijaribu kuvuruga kesi. Kwani alishindwa nini kuutoa huo ushahidi takukuru au mahakamani? Na kwani ni lazima aombe kibali cha mahakama kumwandikia dpp?Seemaaa usiogopee semaaa