Ruge vs Mengi

Status
Not open for further replies.
So mbona tunawaza kitu sawaa..??? So kimsingi hakuna sababu ya media wala nini ilaa ni suala la Kugusa mioyo ya watu mpaka Ikagusikaaa... Wale kina mama Kutandika kanga gari lipite na watu sio kitu kidogooo... Watu wawili tofauti wanaweza Fanya kitu Kimojaa kwa Namna sawa lakini Mmoja akagusa mioyo ya watu zaidi ya mwinginee soo Sijui tunalisemaje hilii...???
 
Wote Wawili R & M WALILIPA KISOGO KANISA ,

HIVYO MAZISHI YAO YATAFANANA, ATAZIKWA NA KATEKISTA AU MWENYEKITI WA JUMUIYA KAMA HAZITAPINDISHWA SHERIA.
Pamoja na kwamba siamini sana katika kuzikwa, yaani uwe umezikwa na viongozi wote wa dini labda mazishi yako yaongozwe hata na PAPA na mwingine akazikwa kihuni huni tu it doesn't matter kwa Mwenyezi Mungu but Mengi hakulipa kisogo kanisa lake la KKKT, emesaidia hata ujenzi wa baadhi ya makanisa, tofauti na Ruge; but again narudia, kuzikwa vizuri au vibaya hakuna tofauti yeyote mbele za Mungu. Kuna wanao zikwa na viongozi wa dini but mbele za Mungu wanaonekana ni wenye dhambi lakini wapo wanaozikwa na katekista ( hi ni kwa RC tu, sidhani kama hiki cheo kipo kwenye Biblia ) na wakawa vizuri mbele za Mungu, hukumu ni ya yeye aliyetuumba, wanadamu tunapendeleana.
 
Umeona eeh? Watu wengine vichwa maji kabisa. Badala ya kuomboleza, wanaleta hapa mashindano ya kitoto.
 
Mishahara imepanda....kwa 10%..#.Msema kweli kachaguliwa kuwa Diwani....
 
Kwa huyu mzee kweli nimesikitika...

Tangu aanze kulishwa maneno na mkewe hivi majuzi nikajua something is really wrong somewhere!

Plus ni homeboy natoka nae maeneo mamoja kijiji!
 
Watu wakifa haina haja ya kufanya uwiano wa maombolezo bali yatupasa kujiuliza (ukiwepo wewe) je tuliobaki hapa juu ya udongo tutaweza kufanya harakati kama wao. No time to disc about burials..RIP
 
Kibaya chajitembeza kizuri chajiuza.Kulinganisha Mengi na Ruge no sawasawa na kulinganisha mlima na kichuguu au dimbwi na bahari.
Wewe unalinganishwa kwa Utajiri na uwezo ndo maana...!! Mengi alitoa msaada wa pesa zaidi... Ruge alitoa msaada wa Ideas...pesa na kuwezesha vipaji vya wengi ambavyo viliwainuaa mpaka leo wana maisha yao...!! Ruge alitoa watu from zero to heroo... He was someone special... Wewe idiot ukalale tuu
 
WATU WANAKARIRI SANA

UFUNUO WA YOHANA
Mlango 2
1 Kwa malaika wa kanisa lililoko Efeso andika; Haya ndiyo anenayo yeye azishikaye hizo nyota saba katika mkono wake wa kuume, yeye aendaye katikati ya vile vinara saba vya dhahabu.
2 Nayajua matendo yako, na taabu yako, na subira yako, na ya kuwa huwezi kuchukuliana na watu wabaya, tena umewajaribu wale wajiitao mitume, nao sio, ukawaona kuwa waongo;
3 tena ulikuwa na subira na kuvumilia kwa ajili ya jina langu, wala hukuchoka.
4 Lakini nina neno juu yako, ya kwamba umeuacha upendo wako wa kwanza.
5 Basi, kumbuka ni wapi ulikoanguka; ukatubu, ukayafanye matendo ya kwanza. Lakini, usipofanya hivyo, naja kwako, nami nitakiondoa kinara chako katika mahali pake, usipotubu.

UKIMALIZANA NA MUNGU WAKO HATA ULIWE NA NGURUWE!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…