EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,701
- Thread starter
-
- #41
WELL SAID MKUUITV,EA RADIO, EATV, RADIO ONE wakiamua kufanya walicho fanya clouds msiba utafunika wa ruge harafu tatizo watangazaj wa kule wengi watu wazima hawan promo kama za clouds
NDIO HIVO JAMAAInamana tayari mzee baba kaenda
Sidhani kama kuna cha utu uzima kwenye msiba WA mtu muhimu kwakoITV,EA RADIO, EATV, RADIO ONE wakiamua kufanya walicho fanya clouds msiba utafunika wa ruge harafu tatizo watangazaj wa kule wengi watu wazima hawan promo kama za clouds
Wanajitoa ufahamu ujue??Ile bongo star search si ilisaidia vijana au?
WELL SAID MKUU
Saivi tunavyoomboleza kuondokewa na mdau mkubwa katika tasnia ya habari.
Leo nataka kuangalia nani ataenziwa na watanzania pamoja na vionhongozi wetu katika mchango kwa jamii.
Ruge alienziwa sana kwa kusaidia wasanii na vijana mbalimbali na Mengi pia amekua msaada mkubwa sana katika jamii ya watanzania kwa makundi mablimbali kuanzia vijana, walemavu, wasiojiweza na Makundi mengine.
Leo sio kwamba nashindanisha hawa watu wawili HASHA! bali nataka kuona muitikio wa jamii katika msiba wa mzee wetu mpendwa na mfanyabiadhara. Mshangiaji mkubwa wa uchumi wetu kwa uwekezaji.
Nawasilisha!
Ofcoz ni ngumu kumfananisha mtanzania na waganda.....
Basi ajue kuwa wengi ni wahamiajiWAGOGO TU
umeelewa lakini au umevamia treni mzee baba?Mashindano mengine hayafai. Tafadhali omboleza, acha kushindanisha wafu. Ni kukosa staha.
Sidhani kama kuna cha utu uzima kwenye msiba WA mtu muhimu kwako
Kwani clouds walii promotes vipi labda??? Si kuweka matangazo tu kwenye TV na radio?? kitu ambacho hata EATV na ITV watafanya lazimaa pia Clouds watafanya...probably they wont promote him that much
Kukubalika ndani ya Mioyo ya watu Huitaji Helaaa... Ishi ukijua hivyooo!Huyo Ruge alikuzwa tu na watu Lakini kiuhalisia hajamfikia Mengi kwa lolote
Ushawahi Muonaa mengi ameenda kuhamasisha vijana Bonge star search??? inawezekana Hata hao washiriki wengine walikuwa hawajui kama Bongo star search kuna mkono wa Mengi.. wanamjua madam ritaIle bongo star search si ilisaidia vijana au?
Binadamu ndo tulivyo nduguNafikiri si sahihi kuweka mjadala wa namna hii katika wakati huu pia sio sawa kumfananisha Dr Mengi na Ruge...
Ruge amakuwa ndani ya clouds media group kama muajiriwa akiendesha michongo yake yote
Dr Mengi ni zaidi ya clouds media group pamoja na partner wao wote..clouds wamufuata nyayo za mzee kupitia media zake...
Call a spade a spade
Mkuu endelea kusubiri taaarifa ya POSTMORTEM
unakwama wapi mzee baba kwani vipindi vingapi vya IPP vitasimama??Kwani clouds walii promotes vipi labda??? Si kuweka matangazo tu kwenye TV na radio?? kitu ambacho hata EATV na ITV watafanya lazimaa pia Clouds watafanya...
Ruge aligusa Maisha ya Vijana wengi sanaaa... Kuanzia ajira mpaka Uburudishajii so kimsingi Ruge msiba wake lazima ungekuwa mkubwaa
Wote wawili initials ya majina yao ni R M ....Wote Wawili R & M WALILIPA KISOGO KANISA ,
HIVYO MAZISHI YAO YATAFANANA, ATAZIKWA NA KATEKISTA AU MWENYEKITI WA JUMUIYA KAMA HAZITAPINDISHWA SHERIA.
Hapana mkuu, alikua anauguzwa UAE ndipo alipofiaKwani kafariki ghafla mkuu?
Senseless kabisa huyuHow can you post something like this?!. Nonsense
Nadhani baada ya mazishi ya Mwalimu Nyerere hajapata kutokea Mtu yeyoye ambae Msiba wake ulikuwa Mkubwa kama Ruge Mutahabaaa.... Ruge was someone special aisee nchi ilitetemekaaa...