EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,712
Lets see what others thinkRuge kwa sababu alikuwa kijana na alikuwa mwenyewe anakwenda field. Huyu Mengi alikuwa ameshazeeka na hajatouch mioyo ya vijana wa generation yetu.
nlitaka kukujibu ila nkaona ngoja nikuache utanichfulia uziHow can you post something like this?!. Nonsense
unahisi Dr. Mengi hana mchango mkubwa kwa vijana kupitia EATV and EA Radio? vipi kuhusu mchango wake kwa kuandika kitabu cha I MUST I WILL I CAN? au kwa kuwa hakuwa na kitua cha kulelea vipaji kama THT?Ruge bwana atabaki kua juu sio kwamba alikua na pesa nyingi ra hasha.. ata top 50 za tz hakuwepo...
Ila alisaidia sanaa ku change mawazo ya vijana wengi haswa tasnia za sanaa mbali mbali na watangazaji... Hivyo maneno yake yanaishi mioyoni mwao...
Mengi naye anamchango mkubwa sanaa na alikua anaweza kujitoa kwa pesa zake kwa walemavu na kuwafanyia sherehe kila mwaka
Mwenye Mungu awaweke mahali wanapo stahili
Bro hapa tunajadili michango yao katika jamii sio maisha yaoKila mja ni shahidi wa nafsi yake mwenyewe
Hakuna kosa mkuu ni maoni tuUzi unalenga kuwafananisha kosa lipo wapi?
Ruge kwa sababu alikuwa kijana na alikuwa mwenyewe anakwenda field. Huyu Mengi alikuwa ameshazeeka na hajatouch mioyo ya vijana wa generation yetu.
hahahahaaaaaaa jamaa bhana!!Na hapo nimejitaidi sana
Saivi tunavyoomboleza kuondokewa na mdau mkubwa katika tasnia ya habari.
Leo nataka kuangalia nani ataenziwa na watanzania pamoja na vionhongozi wetu katika mchango kwa jamii.
Ruge alienziwa sana kwa kusaidia wasanii na vijana mbalimbali na Mengi pia amekua msaada mkubwa sana katika jamii ya watanzania kwa makundi mablimbali kuanzia vijana, walemavu, wasiojiweza na Makundi mengine.
Leo sio kwamba nashindanisha hawa watu wawili HASHA! bali nataka kuona muitikio wa jamii katika msiba wa mzee wetu mpendwa na mfanyabiadhara. Mshangiaji mkubwa wa uchumi wetu kwa uwekezaji.
Nawasilisha!
alikuzwa na media sio kama alikua na hadhi hio (no offence)Nadhani baada ya mazishi ya Mwalimu Nyerere hajapata kutokea Mtu yeyoye ambae Msiba wake ulikuwa Mkubwa kama Ruge Mutahabaaa.... Ruge was someone special aisee nchi ilitetemekaaa...[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]