Kitendo alichokifanya mmiliki wa clouds jana(ruge mutahaba) ni dharau iliyovuka mipaka,hata kama mna bifu lenu na jide kwa nini uonyesh dharau kias kile?,yan ina maana umetudharau kupita maelezo sisi wasikilizaj wa clouds,lengo halikuw kumkomoa jide bali wasikilizaj wa clouds na wana bongo fleva kwa ujumla,yaan umejionyesha kwamba wew ni mungu mtu unawez kufany chochote na mda wowote unaojisikia je umesahau kuwa sis ndo tunaokuweka mjin?,au hyo clouds inasikilizw na wanyama?,bro its better uka chukua mda mwingine kama ulivyofanya jana na kkutuomba radh sisi wasikilizaj na wabongo fleva kwa ujumla..
Wao si ndo walioanzish hyo program yao ya made in tanzania? sas imekuwaj tena jan kukataz nyimbo za nyumban kutopigwa kweny radio yake? M sidhan kuw alikuw sahihi huo ni ugomvi wake na jide na sio bongo fleva
yote...alichofany ni ukandamizaj
Ndo utapata picha halisi ya mtu huyu ni mtu wa namna gani
hali,halali,hawazi kitu kingine,ni ruge,ruge,jay dee,jay dee,!mtu mzima huna la kufanya?hovyoooo!!kwani hizo gospel kupigwa kinakuuma nn!!?kaanzishe radio yako upige taarab!
Nakumbuka magazeti ya shigongo yalimwandika sana kuhusiana na suala hilo, akatangaza kuacha muziki,maana magazeti yanamfuatilia sana.ngoja kidogo.unakumbuka kora award miaka ileeeee jide alienda south na ruge waka......rum moja.kipindi hicho hajaangukia mikononi mwa........SAMAHANI NAWAZA KWA SAUTI TU.