qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,382
Mkiwa peak mnakula unga mkianza kuwa mateja mnamlaumu Ruge.. Tangu lini teja akaweza kuimba na kubwia unga kwa wakati mmoja.
Mkiwa peak mnakula unga mkianza kuwa mateja mnamlaumu Ruge.. Tangu lini teja akaweza kuimba na kubwia unga kwa wakati mmoja.
ushikaji na kuoneana noma ndo kumefikisha vijana wengi hapa walipo!hawa wa kina q chief watu wa karibu walikuwa wanajua kama anakula ngada ila hawakumstua sasa amechoka na kila raia anajua basi lawama kwa ruge!......leo wema na rommy wanakula unga na watu wa karibu wanajua ila kwakuwa wanamudu kujinunulia huo unga na wako smart nobody cares!siku wakichoka ruge atabebeshwa lawama!...hii si kwa hao tu hata kwa maskani nyingi!.......mtu kama anakula unga achanwe ajue kama watu wanajua kuliko kusubiri achoke
halafu diamond anataka kuoa kweli