Duke Tachez JF-Expert Member Joined Mar 28, 2018 Posts 5,461 Reaction score 4,172 May 2, 2018 #1 pesa ndo ilimaliza vita ya ruge na sugu
successor JF-Expert Member Joined Oct 25, 2012 Posts 3,084 Reaction score 6,155 May 2, 2018 #2 Kumbe hawa jamaa wote walizaliwa Mei Mosi.
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,459 Reaction score 83,642 May 2, 2018 #3 Kwani walikuwa na vita gani zaidi ya ujinga ujinga wao.
Pan AM JF-Expert Member Joined Apr 30, 2018 Posts 352 Reaction score 498 May 2, 2018 #4 ....Sugu akachukua mihela ya Ruge na kuwatosa washikaji waliokuwa katika mapambano dhidi ya unyonyaji wa akina Ruge. .
....Sugu akachukua mihela ya Ruge na kuwatosa washikaji waliokuwa katika mapambano dhidi ya unyonyaji wa akina Ruge. .
C ChimeraX JF-Expert Member Joined Dec 18, 2017 Posts 2,316 Reaction score 2,899 May 2, 2018 #5 Ulitaka papuchi ndio imalize ugomvi?
Duke Tachez JF-Expert Member Joined Mar 28, 2018 Posts 5,461 Reaction score 4,172 May 2, 2018 Thread starter #6 XaviMessIniesta said: Ulitaka papuchi ndio imalize ugomvi? Click to expand...
Duke Tachez JF-Expert Member Joined Mar 28, 2018 Posts 5,461 Reaction score 4,172 May 2, 2018 Thread starter #7 Pan AM said: ....Sugu akachukua mihela ya Ruge na kuwatosa washikaji waliokuwa katika mapambano dhidi ya unyonyaji wa akina Ruge. . Click to expand... Mpaka leo sugu haongei na baadhi ya wanaharakati wa Antivirus
Pan AM said: ....Sugu akachukua mihela ya Ruge na kuwatosa washikaji waliokuwa katika mapambano dhidi ya unyonyaji wa akina Ruge. . Click to expand... Mpaka leo sugu haongei na baadhi ya wanaharakati wa Antivirus
Duke Tachez JF-Expert Member Joined Mar 28, 2018 Posts 5,461 Reaction score 4,172 May 2, 2018 Thread starter #8 owomkyalo said: Kwani walikuwa na vita gani zaidi ya ujinga ujinga wao. Click to expand... Ulikuwa ni ujinga wa ruge sio sugu
owomkyalo said: Kwani walikuwa na vita gani zaidi ya ujinga ujinga wao. Click to expand... Ulikuwa ni ujinga wa ruge sio sugu