Libertatem Pugnator
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 1,005
- 1,379
Wewe ni mwanasheria?Narudia tena hapo hamna kesi..
Ndo maana hata kesi haianzi,ni miyeyushwa mwanzo mwisho
Imerudi kivipi? Unga umeshuka bei? Sukari imeshuka bei? Magufuli kaacha kuwaita wanyonge? Hela zimerudishwa? Waliiba au ni zao? Mishahara imepanda kwa watumishi? Ufisadi CCM umekoma? Nyumba za hohehahe hazibomolewi tena? Fedha imerudi kwenye mzunguko? Sasa heshima imekurudiaje?
Duuuh hadi huruma kila siku kesi inahairishwa
Kada mtiifu wa Chama...[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hapo umenena. Wako wanaopongeza aina hii ya uongozi ya awamu ya tano lkn yakiwafika ndipo watakapojitambua. Wako waliokuwa wakiisifia lkn baada ya wao/ndugu zao wakaribu kuguswa kwenye bomoabomoa hivi sasa wao ndio wanaolia zaidi. Bila kuwasahau wale waliokumbwa na ktk swala la vyeti feki na wengine kubebwa. Uonevu na ubaguzi huu hautawaacha salama ni swala la muda tu.Sioni faida yeyote ya kuwasumbua hawa watu. Kama ni nini watuwekee na wale wa Stanbick. Unapowaheshimu wezi wengine na kuwachezesha wengine kwata inaonesha na weye mwizi tu unataka siku ukikamatwa uombe huruma.
90% ya raia Tanzania ni maskini, sasa kama wengi wakichekelea poa tu, nchi yao, wanaona wanaibiwa na wachache..Naona masikini wanafurah tajiri anapopata shida,Roho mbaya tu watumishi wa umma walihusika wanakula bata uraiani. Sent using Jamii Forums mobile app
Yallah mbavu zangu, ndio maana JF sifungue palipo na mkusanyiko wa watu [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Unajua kusoma?
Hapo walipo nje pameandikwa MAHAKAMA YA KISUTU na sio SALON YA KISUTU.
It is someone's good life in life time which changes in bad times in no time..Maisha yanaweza badilika wakati wowote
Ova