Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 265
Jamani, tumechoka kumsikia Ruge Mutahaba kwenye kashfa zisizokuwa na kikomo.
Kama mmechoka kumsikia kwenye kashfa zisizokuwa na kikomo kwa nini umemuanzishia mada hapa?
Jamani, tumechoka kumsikia Ruge Mutahaba kwenye kashfa zisizokuwa na kikomo. Kuanzania Malaria NO More, hadi Sakata la Lady JayDee. Ruge anatuhumiwa kuwa kiongozi katika kuziba rizki na maslahi za wasanii. Ruge huyo huyo anahusishwa na kashfa nyingi sana hasa za unyonyaji katika Tasnia ya Muziki na sanaa kwa ujumla. Joseph Kusaga naye hawezi kubaki nyuma ya Ruge kwenye hizi tuhuma.
Kusaga na Ruge wanatuhumiwa kutumia chombo chao za habari (Redio-Clouds) vibaya kwa maslahi yao na CCM, wakimtumia Ephrahim Kibonde na Arnold Kayanda, ambo ni waropokaji wakubwa
Siyo malamiko kutoka kw amtu mmoja, bali kwa watu wengi sana ambao kwa siku za nyuma waliongozwa na Mbunge Mh. Joseph Mbilinyi. Tafadhalini watanzania wenzangu mnaomfahamu Ruge, mtujuze, ni vipi Ruge amekuwa akiwanyonya wasanii
Kama mmechoka kumsikia kwenye kashfa zisizokuwa na kikomo kwa nini umemuanzishia mada hapa?
Kama mmechoka kumsikia kwenye kashfa zisizokuwa na kikomo kwa nini umemuanzishia mada hapa?
Yaani huyu jamaa kukaa kote Marekani ndio anavaa kirugaruga namna hii!! kweli sasa nimeamini kukaa karibu na Mahakama siyo kujuwa sheria.
Hili shati halina tofauti na sare za waimba kwaya wa kanisani.
Mshamba ni mshamba tu fedha inanoga unapojuwa kupiga pamba, anapitwa na Jakaya Kikwete ambaye ni mzee na anapigiria Pamba za ukweli. hapa huwezi kuubadili ukweli kwamba jamaa ni mshamba na hajui kuvaa na siyo picha hii tu picha nyingi namuona yupo kirugaruga tu.watu kama wewe mkienda marekani ndio mnarudi na nguo tu....Ruge hakwenda marekani kujifunza kuvaa.....alichokifuata karudi nacho ndio maana yuko hapo alipo......piganeni na maisha vijana acheni majungu.....ruge mara kusaga mara clouds....wenzenu wamehussle now they're multi-millionaires....when i say millionaires,i mean millionaires in $$$$
Mkuu punguza jazba kidogo najua inauma,lakini dah!!.alimpaga rafiki wa mdogo wangu mimba nikaenda kumtoa haraka sana sasa akazaa nasikia kazaa na dansa wa Ray C anaitwa K pia kazaa na Zamaradi ma.laya sana Ruge Yeye na Kusaga wanachaangia wanawake halafu anatumia dozi
Kwani huwa anawabaka au wanapanuwa wenyewe?alimpaga rafiki wa mdogo wangu mimba nikaenda kumtoa haraka sana sasa akazaa nasikia kazaa na dansa wa Ray C anaitwa K pia kazaa na Zamaradi ma.laya sana Ruge Yeye na Kusaga wanachaangia wanawake halafu anatumia dozi
Kwani huwa anawabaka au wanapanuwa wenyewe?
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, hivi nyinyi siku hizi vikojoleo vyenu mnampa mtu mchovu? sioni tatizo la Ruge kwenye alimradi hawabaki basi ni makubaliano maalum na wanavuwa chupi wenyewe. Haya ndio madhara ya kupenda maisha rahisi.anawadanganya na hela jamaa ana roho mbaya na ili ufanikiwe THT lazima uwe mpenzi wake Mwasiti alijitoa THT sababu wimbo wake boss ruge alimpa demu wake linah aimbe mwasiti akakasirika
anawadanganya na hela jamaa ana roho mbaya na ili ufanikiwe THT lazima uwe mpenzi wake Mwasiti alijitoa THT sababu wimbo wake boss ruge alimpa demu wake linah aimbe mwasiti akakasirika