Wakina diamond bado sana kufika levo za world class artist kama rick ross,
Rick ross unaomba quotation ya show unatumiwa, then contract unasoma terms of contract ukikubali unasain nae anasain..
Then unatumiwa invoice imewekwa kila kitu kuanzia cost, vat etc ndo unafanya malipo.. Yaan full proffessionalism inafatwa... Kumdondosha world class artist si mchezo tena hiyo dola lak 1 ni rate ya nchi maskini as wanaona huruma na ni kama bure tu kwao.. Maana anatembea na team ya watu kama 10 kuanzia dj, mtu wa mavazi, consultant wa lights on stage, mtu wa camera for their own records, na wengineo kibao...
Lakin diamond au juma nature we unampigia simu tu na kumwambia nitakupa laki advance nakutumia m pesa.. Tayari umeshampata hata ukimdhulumu hakuna ushaidi wa kutosha.. Si umeona ya shigongo na chamilione..
But world class artist hawadhurumiki as kuna mlolongo mrefu mpaka afike kufanya show... Na contract ni 45 minutes tu hazidishi hata iweje labda mashabiki wakifosi wanaweza wakatoa ofa as they respect their fans a lot that promoters