Ruge Mutahaba haya ni maoni kwako

Ruge Mutahaba haya ni maoni kwako

Mtu muongo utamjua tu.

Eti kampuni ya zamani Prime Time Promotion! Kwani hiyo kampuni imekufa? Kwa taarifa yako hao Prime Time Promotion ndo waandaaji wa Fiesta mpaka kesho.

Suala la kuwatoa na kutambulisha wasanii hata diamond na Davido waliunganishwa na Ruge Kwenye fiesta ya 2013 ndo akaenda kufanya kibao cha Number One Remix. Kusema ni juhudi zake tu ndo zimemfikisha pale bila kutambua mchango wa hawa watu ni unafiki mkubwa na kutokuwatendea haki.

Wewe utakua TeamDiamond hivyo roho inakuuma kila usikiapo sauti ya Kiba radioni. Ile ni Biashara hata Diamond akitaka promo analipia na kila dk2 utamsikia hewani. Hiyo ni Tour ya kiba na imelipiwa kwa hiyo usitake watu na kampuni zao wasifanye biashara kisa wewe na matim-Ushuzi yako.

Kama ulihudhulia pale Escape 1 wakati Diamond katoka kulamba tuzo 3 sauzi wala ungeleta huu upuuzi eti wanataka kuzika Ufalme wa Diamond. Diamond alisema hivi,' na mbali ya kupokea tuzo 3 bado nilisikitika sana kwani nilikua mpweke kila nikigeuka najikuta niko mtanzania peke yangu. Natamani wasanii wa tanzania wawe wengi kwenye jukwaa la kimataifa. Ili nikiwa nageuka hivi nawaona akina Linah, ally(kiba), n.k tafta youtube kwa maelezo zaidi. Sasa watu wanafanyia kazi ushauri wake nyie mbulukenge mnakuja hapa kuatama? Au mlitaka asikike peke yake ilhali yeye mwenyewe ashasema hapendezwi na ile hali?

Suala la kuzomewa umeliona kwenye Fiesta tu? Mbona juzi kati kwenye Tigo Kiboko yao concert iliyoandaliwa na tigo kwa kushirikiana na Ipp pale leaders alizomewa huwalaumu ipp? We utakua na chuki binafsi na clouds wala hamna kingine?

Ruge hasimamii wasanii ndugu. Labda unipe orodha ni wasanii gani wanaosimamiwa na Ruge. THT ina menejiment yake na yeye anabaki kama mlezi.. na huko wanadeal na wasanii wachanga pamoja na wale waliokulia pale. Sasa unaposema kuwa alitaka kusimamia kazi za mond huoni kuwa unaongopa mchana kweupe? Lini Tht ikaingia mkataba na wasanii wakubwa? Nipe hata mmoja ndo niamin hizi pumba zako. We una chuki binafsi.

Hao watangazaji wenyewe si ajabu hata hujawahi kuonana nao zaidi ya kuwaona kwenye magazeti ya shigongo. Eti hata wao wenyewe kwa wenyewe wanasema boss hamtaki? Wewe una uhusiano gani na mfanyakazi yoyowe pale alokwambia hayo au ni story za kwenye vijiwe vya kahawa? Huyohuyo Diamond anashinda THT anatumia vyombo vyao vya mziki sasa hayo kama sio majungu ni nini?

Hivi unaposema Diamond ni mbunifu, unaweza kunambia mziki wa Diamond na wasanii wa Tanzania kwa ujumla una ubunifu gani kuwafanya watu wa kimataifa waukubali? my namba wani ina ubunifu gani zaidi ya kukopi na kupest niondoko ya kinaijeria?

Mimi naamin Diamond ni msanii wa kimataifa(afrika) hivyo haitaji tena promo ya clouds kwani sio kampuni ya kimataifa. Na ndio maana hata yeye diamond haangaiki kulipia promo ya ndani.

Hizi promo za ndani waachie akina alli kiba na wenzie wajitangaze ndani watengeneze pesa ya madafu hapahapa ili wapate msingi mzuri wa kuja kupiga midolari ya kimataifa.

Tatizo la watanzania hatupendi ushindani. Mtu akipata changamoto ya ushindani ndo anaanza kutafta mchawi badala ya kukaza buti. Kama mnasema msanii ni wa kimataifa iweje mnalilia promo ya ndani? Au clouds inasikika Nigeria?

Unalipwa shilingi ngapi kwa kuandika mangonjera haya?
 
Kwl tumia akili kufikilia boss sasa ww unadhani watu waliokiwa wakimzomea diamond walitumwa na clouds ambao ndio waandaaji wa shoo za fiesta ilikuvuga shoo zao wenyewe hii pumba?

Pia unasema wamempa promo ali kiba ilikumkomoa diamond? Sasa ww unataka kiba asipewe promo kisa wana beef name diamond mbona pinna hujaiongelewa? Kwann watanzania hatutaki kusupport kitu kizuri yaan ni kudiss tu jipange mtoa maada

na wewe ndo wale wale
 
Back
Top Bottom