simjui ruge ni nani lakn humu ndani kuna watu wana akili chafu sna wao kila kitu wanafurahia hata mtu akiwa na matatizo wanafurahi. hivi nyinyi mnaofurahia matatizo ya watu ni binadamu kweli au ni viumbe wa aina gani? bahati yenu sio admin ningekuwa nawapiga block wote wenye tabia za hivi kufanya utani kwenye matatizo