"Sauti ya Sugu" maana yake nini, unajuaje ni miliki ya Sugu? Tuwe makini inapokuja maswala ya kisheria.kutumia sauti ya Sugu kwenye matangazo
Hiyo kitu ndiyo Sugu mwenyewe anapigania sauti iwe ya mwingine miliki awe mwingine haiingii akilini"Sauti ya Sugu" maana yake nini, unajuaje ni miliki ya Sugu? Tuwe makini inapokuja maswala ya kisheria.
Hii video Sugu alirekodi akawapa waandaaji wa Fiesta. Aonyeshe mkataba wa makabidhiano ya hiyo video unaosema kwamba Sugu ana retain rights za ku terminate matumizi ya kitu ambacho kesha gawa, au kesha lipwa, for all we know. Halafu, ukishaleta mkataba, lete cease and desist notice uliyowatumia Fiesta kuwaambia kwamba kuanzia leo sikubaliani tena na Fiesta kwa hiyo msitumie ule mkanda.
Ni sawa sawa na ume pause kupigwa video ya porno, umelipwa, or worse umegawa bure bure tu, halafu miaka mitatu baadae production company inazitumia kutangaza biashara zake, wewe unaibuka, oooh, sasa sikubaliana na mambo ya porno, nawaamuru msizitumie, nimeokoka, nina watoto, nina mume. Wait a minute, hizi video kwani bado zako?
ana jina jipya siku izi ''mse***
Sauti yako mmiliki mwingine inawezekana. Charles Hillary anamiliki sauti yake ya matangazo ya biashara wakati anatangaza Simba na Yanga mwaka 1985 au Radio Tanzania ina miliki?Hiyo kitu ndiyo Sugu mwenyewe anapigania sauti iwe ya mwingine miliki awe mwingine haiingii akilini
inamaana yeye asimiliki sauti yake huo ndio udosi tunaoukataa,
Exactly my point, hujui mkataba unasema nini, for all we care to know Sugu alikula hela kutengeneza hiyo promotion ya Fiesta mpaka aka pause kwenye ki video, otherwise kwanini akubali ku-pimpiwa na Ruge?na unajua walikuwa na mkataba gani wa kibiashara au burudani au mahojiano ya kawaida.
Kama mlikubaliana na Sugu kwanini akuite mse**** na hayo makubaliano ni ya fiesta ipi au ni ya milele.Sauti yako mmiliki mwingine inawezekana. Charles Hillary anamiliki sauti yake ya matangazo ya biashara wakati anatangaza Simba na Yanga mwaka 1985 au Radio Tanzania ina miliki?
Exactly my point, hujui mkataba unasema nini, for all we care to know Sugu alikula hela kutengeneza hiyo promotion ya Fiesta mpaka aka pause kwenye ki video, otherwise kwanini akubali ku-pimpiwa na Ruge?
... WASE.NGE pamoja na kufoji na kutumia sauti yangu ya miaka mitatu nyuma kwenye tangazo lao la fiesta ili kuwavuruga watu,na kubeba wasanii wote wa bongo wanaowaamini kuja nao mbeya...bado tumewapoteza vibaya...like i didnt warn u about mbeya,muthafu.ckaz...!!!
EBU TWENDE KWENYE CONTENTkwaio huu UJAMBAZI NA UMAFIA, RUGE anaowafanyia wasanii wa kibongo walio maskin na waliokata tamaa na kukubaliana na hali halisi we unaona sawa tu sababu anawabana kwenye kisheria??shauri zao nan aliowaambia wasijue sheria..inasikitisha!we unaona izi RAFU NA MICHEZO MICHAFU anazofanya RUGE kwa wenzake kwenye soko la burudani uku akipata sapot NYUMBA NYEUPE ni sawa tu watu wasimfuatefuate haswa SUGU..mi nadhan hapa kuna tatizo na dawa tatizo ni kulitatua sio kutafuta namna ya kulihararisha..tusingoje damu imwagike"Sauti ya Sugu" maana yake nini, unajuaje ni miliki ya Sugu? Tuwe makini inapokuja maswala ya kisheria.Hii video Sugu alirekodi akawapa waandaaji wa Fiesta. Aonyeshe mkataba wa makabidhiano ya hiyo video unaosema kwamba Sugu ana retain rights za ku terminate matumizi ya kitu ambacho kesha gawa, au kesha lipwa, for all we know. Halafu, ukishaleta mkataba, lete cease and desist notice uliyowatumia Fiesta kuwaambia kwamba kuanzia leo sikubaliani tena na Fiesta kwa hiyo msitumie ule mkanda. Ni sawa sawa na ume pause kupigwa video ya porno, umelipwa, or worse umegawa bure bure tu, halafu miaka mitatu baadae production company inazitumia kutangaza biashara zake, wewe unaibuka, oooh, sasa sikubaliana na mambo ya porno, nawaamuru msizitumie, nimeokoka, nina watoto, nina mume. Wait a minute, hizi video kwani bado zako?
Siku wakija Arusha namuomba sugu na wenzake waje Arusha...nina uhakika fiesta itadoda........Fiesta Moshi- wekeni ya Ndesamburo
Fiesta Arusha-wekeni ya Godbless Lema
Fiesta Dar-Mu-weke ya Mnyika na Mdee muone...