mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,221
- 4,693
Ikiwa imebaki siku chache kufanyika tamasha kongwe la Fiesta,kumetokea kuzorota na kukosa msisimko kabisa kwa tamasha ili tofauti na miaka ya nyuma..ni kana kwamba Ruge mwaka huu ategemee maumivu makali sana kwa uchache wa maudhurio...Hali hii sijui imetokana na nini,ni kukosa jipya(ubunifu)? wananchi kukinai? au tukio la Eatv kuwa pre empty kwa kutangaza vizuri show ya Psquaire.? labda kukosekana kwa msanii wa kimataifa wa kueleweka,maana wasanii toka nje wa safari hii ni utumbo mtupu sijui davido jmartins allein yani ni bora wangemaimamisha Diamond kuwa main perfomer,pengine hii nayo imechangia........
ila kwa kifupi ruge na fiesta mwaka huu wamefulia mpaka noma sanaa!!,,tunasubiria Show ya Psquaire..
Mkuu alain utumbo tena.? Angalia vizuri kauli yako. Alain unamfananisha na Diamond.
Sasa wewe umekuaje limedorola wakati haijafanyika?,pia umesema kukosekana msanii wa kimaraifa,sasa huyo p square si ni nigeria sawa na hawa akina davida na jmartin?,au umetumwa?,maana hueleweki ati unataka kusema nini hapa
mkuu umeongea vizuri..huyo jamaa anayebisha kama alain anakalishwa na diamond au nature atakuwa hana kumbukumbu au hajui kilichotokea wakati ule fiesta walimleta lil kim..awaulize watu waliokuwa backstage ndo atajua....kusaga na ruge baada ya kuona lil kim anashindwa kuamsha yowe walishauriana sir juma nature ukipenda muite Rambo akampe tafu lil kim,na kweli alichokifanya nature hadi leo clouds wanamuheshimu nature kwani yeye ndo aliyeteka showsasa we uyo alain akisimama na Diamond au Nature nani anakalisha? au unashoboka tu kusikia mtu katoka Jamaica...ebu nambie 'heat' yake ambayo inaweza kumtoa mtu mbagala au tegeta kuja kumuona baada ya kujichanga sana..sijui kwanza kama unafahamu hadhira ya Fiesta..
fiesta imedoda!
mkuu umeongea vizuri..huyo jamaa anayebisha kama alain anakalishwa na diamond au nature atakuwa hana kumbukumbu au hajui kilichotokea wakati ule fiesta walimleta lil kim..awaulize watu waliokuwa backstage ndo atajua....kusaga na ruge baada ya kuona lil kim anashindwa kuamsha yowe walishauriana sir juma nature ukipenda muite Rambo akampe tafu lil kim,na kweli alichokifanya nature hadi leo clouds wanamuheshimu nature kwani yeye ndo aliyeteka show
mwakani ndio hatwedi kabisa ruge kaa ukijua hilo
Mkuu alain utumbo tena.? Angalia vizuri kauli yako. Alain unamfananisha na Diamond.
sasa we uyo alain akisimama na Diamond au Nature nani anakalisha? au unashoboka tu kusikia mtu katoka Jamaica...!
mkuu umeongea vizuri..huyo jamaa anayebisha kama alain anakalishwa na diamond au nature atakuwa hana kumbukumbu au hajui kilichotokea wakati ule fiesta walimleta lil kim
Jamani...anaitwa 'Alaine'....alain ndo nani!?
Jamani...anaitwa 'Alaine'....alain ndo nani!?
kiuhalisia......kibongobongo....Alaine bado sana....ni ukweli usiopingika kitaani hana mvuto kivile.....Diamond anamfunika kabisa...Mkuu alain utumbo tena.? Angalia vizuri kauli yako. Alain unamfananisha na Diamond.
Hapa kila mtu anaongea kwa mapenzi yake binafsi. Ukweli unabaki palepale Alaine ni msanii mkubwa na huwezii ukamweka level sawa na Domo na Nature. Hata mm Nature na Domo nawakubali sana, Swala la kushangiliwa jukwaani sio inshu.
Hapa kila mtu anaongea kwa mapenzi yake binafsi. Ukweli unabaki palepale Alaine ni msanii mkubwa na huwezii ukamweka level sawa na Domo na Nature. Hata mm Nature na Domo nawakubali sana, Swala la kushangiliwa jukwaani sio inshu. Kwa sisi mashabiki wa Riddim Alaine tunampa Respect kubwa. Alafu tambueni Tanzania kimziki tupo nyuma. Hata siku wakiletwa Morgan Heritage wataonekana wa kawaida 7bu watu wengi sio wafuatiliaji wa Ridimms mbalimbali. Hivyo kosa la Clouds ni kuleta msanii ambaye mziki anaofanya haushabikiwi sana nchini Tanzania.
10/10...na huwezi mshindanisha Alaine Laughton na Domo au Nature kwenye jukwaa la Fiesta Bongo...tuwatupe O2 Arena London, wote sio kwao, halafu tuone nani atamkalisha mwenzie. Ni sawa na kuhoji kama Domo au Nature wanaweza mkalisha Alaine kwenye jukwaa ndani ya Kingston Jamaica.
Morgan Heritage ni hadithi nyingine baba...angalia concert zao walizofanya Ulaya (UK, Sweden, Belgium, Finland etc..) ni balaa, huwa wanajaza viwanja vya mipira wale! Ni moja kati ya wanamuziki ambao concert zao ni ghali..