Hongera sana Seba Maganga wewe ni ''champion'', hatimaye Fiesta imefanyika

music mimi

JF-Expert Member
Jun 16, 2013
441
758
Nachukua nafasi hii kumpa heko new mastermind wa Clouds ndg Sebastian Maganga kwa kuweza kufanikisha show ya Fiesta. Juzi niliandika uzi wa kuonyesha wasiwasi wangu kuhusu show kutopata wahudhuriaji kabisa, lakini hali imekuwa tofauti na washabiki japo sio kama ilivyozoeleka walijitokeza si haba.

Hii inaonyesha kwamba haukuweka silaha chini umepambana bila uwepo wa Ruge na tamasha limefanyika.

Kuhusu kukonga nyoyo za mashabiki na mahudhurio sitopenda nilizungumzie kikubwa ni show imefanyka. Hongera sana na kiasi fulani mmepata cha kujifunza!

1545552208772.png

Juma Nature hongera pia kwa kuwa man of the show

1545552437096.png

Mashabiki wakipata vibe la kutosha

1545552815702.png

1545553159634.png
 
Whoever laugh last....upande wa pili wa shilling wa dady is coming naona bado wanapumulia machine pamoja na kuwacheka clouds.....ila joseph kusaga huyu jamaa ni bonge la mastermind aka Godfather wa bongo radio yaani nyie gombaneni ila ye kote anakula
 
Nlikuwa nakusubr kwa hamu
Unajiskiaje sasa??
Nice! Sikuwa nafahamu kama unanisubiria kwa hamu... Kwa kweli nimefurahi show imefanyika, pamoja na kupata watu wachache tofauti na tulivyozoea fiesta za miaka yote hila wamejitahidi wamefanya.
 
Angalau umekuwa muungwana, unajua kuna watu mnaamini kuwa kinachoendelea instagram ndio hali halisi ya huku mtaani. Huko mitandaoni watu wana stress tu, wataitukana clouds ila hawana jinsi inabidi waende tu maana ndio kitovu cha burudani
Nafikiri maoni ya watu yalitazama zaidi experience ya fiesta za huko nyuma amsha amsha na wingi wa watu mwaka huu imekuwa tofauti, ndio maana hata show haikwenda live kwenye tv maybe kuficha mapungufu fulan fulan.. But anyways kwa nguvu ya promo iliyotumika nasema wamejitahidi sana waliofika wanatosha sana.
 
Sasa hivi kila kitu kimekuwa kigumu ajira ngumu biashara ngumu fiesta nayo ngumu..mwakani inabidi wabadilishe strategies
 
Nafikiri maoni ya watu yalitazama zaidi experience ya fiesta za huko nyuma amsha amsha na wingi wa watu mwaka huu imekuwa tofauti, ndio maana hata show haikwenda live kwenye tv maybe kuficha mapungufu fulan fulan.. But anyways kwa nguvu ya promo iliyotumika nasema wamejitahidi sana waliofika wanatosha sana.
walikua live YouTube sema ilikua imepoooza hamna shangwe na wahudhuriaji wachache sana ....
 
Nachukua nafasi hii kumpa heko new mastermind wa Clouds ndg Sebastian Maganga kwa kuweza kufanikisha show ya Fiesta. Juzi niliandika uzi wa kuonyesha wasiwasi wangu kuhusu show kutopata wahudhuriaji kabisa, lakini hali imekuwa tofauti na washabiki japo sio kama ilivyozoeleka walijitokeza si haba.

Hii inaonyesha kwamba haukuweka silaha chini umepambana bila uwepo wa Ruge na tamasha limefanyika.

Kuhusu kukonga nyoyo za mashabiki na mahudhurio sitopenda nilizungumzie kikubwa ni show imefanyka. Hongera sana na kiasi fulani mmepata cha kujifunza!

View attachment 975187

Juma Nature hongera pia kwa kuwa man of the show

View attachment 975189
Mashabiki wakipata vibe la kutosha

View attachment 975197

View attachment 975199
Kajitahidi kweli kweli , basata imuache diamond aendelee kuwapa changamoto hawa clouds walilidhika sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom