Game of the week wikendi ijayo. Nafasi ya New Zealand kusawazisha. Lakini hapa New York kupata nafasi ya watch hiyo game ni noma. Most bars are showing the game at 4:30 am ! Too early for me to be in a bar

angalia tu nyumbani kwenye net...
au njo tu hapa JF kwenye hii thread hahahah lol
Karibu tena..
dahhhh mi nlidhani wana wa USA mtakuwa mna support US...lol
wamejitahidi sana mwaka huu lakini... Nadahni uliona "Vita vya baridi"
USA VS Russia... wengu tulidhani US watafungwa.. lakini dahhhh Russia
hawakuona kitu .. Good on you US.. mkiendea hivyo labda mtapa kombe la dunia
miaka 50 ijayo ... Keep up..