Hiyo DNA test ingefanyikaje? Katika kesi ya kubaka/kunajisi kinachotakiwa ni kukamata mbegu za mwanamume ziliko kwenye sehemu za siri za mtu aliyetendewa hilo tendo ovu ili zikapimwe na kulinganishwa na DNA ya mtuhumiwa. Hao watoto wote wanaosemekana kunajisiwa na watuhumia waliibuliwa siku kibao baada ya tukio. Kwa hiyo huwezi kufanya DNA test yoyote kwa sababu huna sampuli. I stand to be corrected.
Hii inanifanya niendelee kuamini kwamba kuna mtu anaye wakazia msumari wa moto huyu mzee na Papii! Anyway, waswahili husema kwamba mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!
Je, imeonekana vipi kwamba hao watoto wa 2 watoke lkn baba na kaka yao wabaki ndani? Kwann hao watoto walifungwa kwa muda wote huo jamani?