Rufaa na Hukumu ya Babu Seya

Kipimo hii ilikuwa bado kuja tz. Labda wapime sasa kama bado inaweza kuonyesha what happened

Well tunawaombea; hivi DNA evidence haikuweza kutumika hapo?

Hiyo DNA test ingefanyikaje? Katika kesi ya kubaka/kunajisi kinachotakiwa ni kukamata mbegu za mwanamume ziliko kwenye sehemu za siri za mtu aliyetendewa hilo tendo ovu ili zikapimwe na kulinganishwa na DNA ya mtuhumiwa. Hao watoto wote wanaosemekana kunajisiwa na watuhumia waliibuliwa siku kibao baada ya tukio. Kwa hiyo huwezi kufanya DNA test yoyote kwa sababu huna sampuli. I stand to be corrected.
 
Babu seya na mwanaye mmoja Papii Kocha wafungwa maisha, wanae Fransis Nguza na yule mwingine waachiliwa huru
 
Watoto wawili waachiwa huru. Wengine wanaendelea na kifungo

Babu seya na mwanaye mmoja Papii Kocha wafungwa maisha, wanae Fransis Nguza na yule mwingine waachiliwa huru

dah hukumu hiyo si ya kiukweli kuna mkono wa mtu hapo
Hii inanifanya niendelee kuamini kwamba kuna mtu anaye wakazia msumari wa moto huyu mzee na Papii! Anyway, waswahili husema kwamba mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!

Je, imeonekana vipi kwamba hao watoto wa 2 watoke lkn baba na kaka yao wabaki ndani? Kwann hao watoto walifungwa kwa muda wote huo jamani?

Walahi kuna utata wa suala lao!
 
Back
Top Bottom