Rufaa kumpinga Mnyika kusikilizwa Disemba 7

Rufaa kumpinga Mnyika kusikilizwa Disemba 7

yule mama anapenda kusuguana mabega na dogo mnyika kwenye benchi la mahakama...hii kesi hata ukimpa nchemba aliyekunywa maji ya bendera la kijani na njano na mwenye upeo mdogo anampa ushindi kamanda mnyika!!!kwa sababu kubaka mahkama ni kawaida yenu mnaweza kumrudishia ubunge lema na kutengua kijambazi wa mnyika ili muharibu balance ya hoja nzito bungeni...sh..wa.ini

Ndg. Nyabhingi, Naomba nikukosoe huyo Chemba si kanywa maji ya bendera ni dhiki na wizi ndiyo umempeleka SSM. Lakini ukweli hana mapenzi na SSM kama hutaamini subiri SSM ianguke kama utawaona. Wenye mapenzi mema na hicho chama hawawezi kuwa wauwaji na wenye matusi nafikiri mti mzuri unasjulikana kwa matunda yake. Kama binadamu aliyekuwa karibu na Mungu ana mwanzo na mwisho ni chama! Wakati unakuja hakuna kumwaga Damu wala kupoteza AMANI lkn hawatakaa tena kusikiak milele kama hutaki nitakukumbusha Dec, 2015.
 
Back
Top Bottom