Rudushia mwili, shukrani

Chagua
 

Attachments

  • IMG-20211105-WA0010.jpg
    39.2 KB · Views: 9
  • IMG-20211026-WA0022.jpg
    48.2 KB · Views: 7
  • IMG-20211023-WA0004.jpg
    59.4 KB · Views: 9
Haujengwi kwa mbao aisee

View attachment 2007250
hapo umekula matakataka mzee, mafuta yote hayo yanaingia mwilini? limchuzi limejaa mafuta ya wanyama, plus ugali unga umekobolewa. ukinipa mimi chakula kama hicho huwa naomba na kibakuli pembeni cha kukamulia na kukwangua mafuta toka kwenye izo tumbo ili nile zilizo safi. na nikila ugali mweupe huo ujue siku hiyo lazima nifanya mazoezi au nipige gemu sana na mama yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…