mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,336
- 6,426
hahahaha
Tembele porindio nini hiki umeandika?
Sina jinsi ya kuirudisha maana na mimi wameishaniibia, niko vijiweni naitafuta
Rudisha mali ya watu!Sina jinsi ya kuirudisha maana na mimi wameishaniibia, niko vijiweni naitafuta
Likimpata mhusika ndio utajua sio kila mtu ni wa kuibiwaMtu mzima hatishiwi nyau
Mihemko bwana, sasa ndio umebadili nini maana imeandikwa vyema au ndio hamu?Tafadhari = tafadhali
Mihemko bwana, sasa ndio umebadili nini maana imeandikwa vyema au ndio hamu?
huyo ni maneno tu Hamna loloteNa hatutafika kwa ushungiHakika Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.
Na hatutafika kwa ushungi
mkuu ni hamu ya nini hiyoMihemko bwana, sasa ndio umebadili nini maana imeandikwa vyema au ndio hamu?
Jiwe gizani!Mkwara mbuzi
kama unaweza kumdhuru inamaana unajua pikipiki ilipo!