Samahani sana nipe heshima yangu ya ushemegi la sivyo utamkosa[emoji15] [emoji15] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]Brother tuheshimiane hivi mimi nikimpost mkeo hivyo utafurahi,nakusihi umtake radhi plz hujatenda haki kabisa,afu ujue una bonge la CV ,UNLESS unihakikishie unamtania na mna utani.
Niko chini ya miguu yako shemeji ,na mgao wangu wa noah u juu yako.Samahani sana nipe heshima yangu ya ushemegi la sivyo utamkosa[emoji15] [emoji15] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Sent using Jamii Forums mobile app
😎 😎Dada kaka ngoja nikafufudue... Kuna kipindi nyakati hizo nilikuwa naye[emoji30] [emoji30] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Embu kakirudisheni hewani maana sikuhizi nakesha mwenyewe tu[emoji17] [emoji17]Hivi kale kauzi ketu ka kukesha usiku bado kapo aktivu...nakumbuka sana kampani yako na rubii wakti ule
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] dude lipi haswa..
[emoji87] [emoji87] [emoji85]Nasikia amepata mwenzihumu Jf na tayari wana mtoto wa kiume a.k.a Junior[emoji12] [emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
Embu kakirudisheni hewani maana sikuhizi nakesha mwenyewe tu[emoji17] [emoji17]
Huku ndio kumekucha yaaniWewe kwani Timezone yako sawa na yetu???
Huku ndio kumekucha yaani
Umepata mke tena mwemaNiko chini ya miguu yako shemeji ,na mgao wangu wa noah u juu yako.
Angalia picha[emoji23] [emoji30] [emoji144]Tobaaa Kaka!! mkono wa shetani uko wapi