Ndiyo kwanza Jumanne wiki iliyopita walikuwa wanazitoa zile application kwenye bahasha,lakini hata hivo kuna makanganyiko. Kwa hiyo kaa mkao wa kula, ila si unajua mambo ya serikalini unaweza ukashangaa mtu anahitajika mwezi wa saba mwa 2014 yaani baada ya kombe la dunia kule Brazil