Rto wa moshi mfano wa kuigwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rto wa moshi mfano wa kuigwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jan 22, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jan 22, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,595
  Likes Received: 5,775
  Trophy Points: 280
  Wanandugu napendabinafsi kumpongeza mh huyu kazi nzuri na usiriasi anaouonyesha kwa madereva na mapolisi wenzake ;bwana huyu achoki kuweka mafuta na kuanza kwenda kwenye ajali kutoka moshi to usa,majuzi amenikuna sana alipo[igiwa na jamaa mmoja ambae alitakasababishiwa ajali pale ushira na DAR EXPRESS akusita kutuma defender ikaja kuliongoza basi kwenda kituoni alipofika unawezafikira polisi wa kawaida akamuuliza dreva unajua ulichoitiwa jama akanza kujichanganya,mara akataja na lile lililompeleka mwisho akamwambia nikufungulie file uje siku uko free m ntakupeleka mahakamani ndipo watanzania kumuombea msamaha;hakusita bwana yule kuwakemea abiria mnamwacha anaendesha gari kama kapakia wanyama,akaanza kutonyesha ajali zilizoua watu kwa usiku mmoja watu 9 ,hakika nikaamini vifo vingine ni sie abiria tunaviitaji,hakuna aliepiga kelele kwenye basi jama alikuwa akituyumbisha anavyotaka,..baada ya hapo akamwambia nenda akatoa namba zake akiendesha ovyo wampigie
  sikuwa na hata biscuit ya karibu ila nilitamani kumpa ponngezi niliishia kumwambi mzee mungu akuongezee uhai,tunaomba watu kama hawa kila mkoa si mnaoogopa watu wakubwa ama wenye pesa zao na mwisho kuwaachia watu wakiua watu ovyo

  B.G. KALUMUNA
  SALUTE
   
 2. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #2
  Jan 22, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  hayo ma-biscut ndiyo jamaa hapendi, angekuwa mpenda biscut asingekuja huko uchira na kuwafokea hata ninyi abiria. watanzania kweli tumekwisha haribika!!!!!!
   
 3. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #3
  Jan 22, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  aika mae!
   
 4. O

  Omumura JF-Expert Member

  #4
  Jan 22, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Sijui kama kamanda kombe amekusikia jamani!
   
Loading...