Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,865
- 2,205
|
| ||||
| Full name | Renaissance Sportive de Berkane النهضة الرياضية البركانية | |||
|---|---|---|---|---|
| Nickname(s) | The Oranges Boys | |||
| Founded | 1938 | |||
| Ground | Stade Municipal de Berkane Berkane, Morocco | |||
| Capacity | 10,000 | |||
| Chairman | Hakim Benabdallah | |||
| Coach | Florent Ibengé | |||
| League | Botola | |||
| 2020–21 | 4th | |||
Aya bhana
Tupo pamoja
Hawana hzo thread Kwa kua wamefanikiwa katika sectar hio,Sijui uko Moroco kwenye majukwa yao wana thread za timu zetu kama Simba au Yanga
Sijui uko Moroco kwenye majukwa yao wana thread za timu zetu kama Simba au Yanga
Hawa wote wameonja pumzi ya moto kwa Mkapa. Alisikika shabiki mmmoja wa Msimbazi, katika hali ya kujifariji
Sa hapo unaniuliza swali au...!!???Kwani huko ulaya kwenye majukwaa yao wana thread za simba na yanga! Huku utakutana na Arsenal, city, United, chelsea, huko je! Wana simba, azam na yanga!😃
Sa hapo unaniuliza swali au...!!???
Ila kikubwa tuvipende vya kwetu kwanza
Hivi mashabiki wa Simba siku ya fainali watasimama na yupi kati ya Orlando pirates au Berkane?